Recent content by surapaka

  1. S

    Je, mitandao ya simu ni salama?

    wacha na surapaka naye ajisajili twitter
  2. S

    DGIS Diwan Athuman jiulize DDGIS Makungu alitumbuliwa au alipelekwa Tabora kujinoa kushika hatamu?

    ushauri kuntu huu. Ila namuona Diwani akifeli mapema sana. Tayari amezungukwa na genge ovu. Anguko lake litakuwa baya kuliko la Kipirimba
  3. S

    Kwa nini Point Tatu za Mezani Zinawaumiza CCM?

    Lipumba kasema kutafuta haki kwenye sanduku la kura ni sawa na kutafuta bikra wodi ya wazazi
  4. S

    Je, mitandao ya simu ni salama?

    Well said. Telegram, Telegram, Telegram. Kuna nyingine wanaita Signal nasikia ni nzuri sana
  5. S

    Je, mitandao ya simu ni salama?

    Hii ni mbaya sana aisee. Ingekuwa Ulaya hawa vodacom wangekulipa hela nyingi sana
  6. S

    Je, mitandao ya simu ni salama?

    twitter nimeipenda bure. Kama yule ......2014 Hahahahaaa
  7. S

    Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Funzo kubwa ni kwamba taifa limegawanyika. Watu waliopaswa kutuunganisha wanatugawa zaidi.
  8. S

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Nikiangalia mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm kwenye uchaguzi tarajiwa wa serikali za mitaa, naona ccm kama li-jipu fulani hivi. Kwenye kata nyingi kumekuwa na na kuombana rushwa ili jina lako lipitishwe. Najaribu kufikiri
  9. S

    Je, mitandao ya simu ni salama?

    Ila kweli. Lakini, kesho ntazungumza zaidi
  10. S

    Je, mitandao ya simu ni salama?

    Kuna wakati tuliambiwa mtandao wa Vodacom umevujisha taarifa sijui umehakiwa. Wakati mwingine tunaimbiwa kuna wezi wa mtandao wanaingilia Tigopesa na M-Pesa. Sasa najiuliza, je taarifa zetu kwenye makampuni hayo hazidukuliwi tena?
  11. S

    Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Serikali wameshirikiana na Barick. This is end of story
  12. S

    Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums

    Wakosoaji ndiyo tunaomsaidia zaidi. Siku zote ukitaka maendeleo unahitaji kuwepo kwa watoa changamoto yaani challengers au wakosoaji kwani hao watakufanya ufikiri kwa kina na kuamua vema kile unachotaka kufanya. Wasifiaji mara nyingi ni wanafiki tu
Back
Top Bottom