Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hii historia na maajabu yanapatikana tanzania pekee chini ya awamu ya tano inayokumbatia wizi mkubwa na ubadhirifu wa mali ya umma wakijificha kwenye koti la uzalendo uchwala.
Toka ripoti ya cag itoke tukadanganywa iko kwenye kamati ya PAC mpaka leo bunge la bajeti linahairishwa hiyo ripoti imetupwa huko.
Ripoti inayoanika matumizi mabaya ya fedha za umma supika huyu kaikalia kesho unawasikia wanajiita wazalendo kumbe dhaifu wakubwa.
Bunge limekuwa sehemu ya serikali swala la kuisimamia serikali limekufa ndani ya awamu hii. Kuna kakundi flani kamekuwa miungu watu hawagusiki