Je, mitandao ya simu ni salama?

surapaka

Member
Oct 22, 2019
17
22
Kuna wakati tuliambiwa mtandao wa Vodacom umevujisha taarifa sijui umehakiwa. Wakati mwingine tunaimbiwa kuna wezi wa mtandao wanaingilia Tigopesa na M-Pesa.

Sasa najiuliza, je taarifa zetu kwenye makampuni hayo hazidukuliwi tena?
 
Tumia simu yako (sms na voice) kwa nidhamu. Wakitaka mawasiliano yako wanayapata muda wowote. Kama una dili hatarishi onana na muhusika uso kwa uso.
 
Mbona unashikiri kusaidia uhalifu
Inaweza ikawa mtu anamfukuzia mke wa mtu, kusafirisha nyala, mipango ya kisiasa, au bank aliyoficha pesa n.k hayo mambo sio ya kutumia ( voice na sms )... hayo tumia uso kwa uso, encrypt device yako then tumia Telegram kwa kutumia fake address kama unakata kupoteza ushahidi hata ikitokea ùlie kuwa unawasiliana nae kukusaliti. Ipo siku nitakuja na mbimu za kujificha na tools zake hutokuja kamatwa hata kwa dawa
 
mkuu nafatana na ww
 
Mitandao sio salama hata kidogo wakitaka taarifa yako wanapewa kama una dili haramu tumia telegram kawasiliana na huyo muhusika wako au kama una account huko twitter au fb unatumia fake username tafuta VPN tena yakulipia ndo itakuwa salama yako
 
Mie voda walishawahi nichoma, tena kwa mtu, alikuwa na rafiki yake anafanya voda kitengo cha switch, alimpa mawasiliano yangi yote... nina experience... sina ugomvi na serikali mimi
Hii ni mbaya sana aisee. Ingekuwa Ulaya hawa vodacom wangekulipa hela nyingi sana
 
Inaweza ikawa mtu anamfukuzia mke wa mtu, kusafirisha nyala, mipango ya kisiasa, au bank aliyoficha pesa n.k hayo mambo sio ya kutumia ( voice na sms )... hayo tumia uso kwa uso, encrypt device yako then tumia Telegram kwa kutumia fake address kama unakata kupoteza ushahidi hata ikitokea ùlie kuwa unawasiliana nae kukusaliti. Ipo siku nitakuja na mbimu za kujificha na tools zake hutokuja kamatwa hata kwa dawa
Well said. Telegram, Telegram, Telegram. Kuna nyingine wanaita Signal nasikia ni nzuri sana
 
twitter nimeipenda bure. Kama yule ......2014 Hahahahaaa
Kuna yule Daudi balali wa twitter miaka na miaka serikali imeshindwa kumdaka anayetumia hiyo akaunt

Kigogo2014 pia hawaji kumdaka ,

Twitter ipo secured sana kuliko fb, na Instagram
 
Back
Top Bottom