Hapa niko kutafuta ukweli kuhusu chanzo cha Vita ya uganda na Tanzania kwa maaana
Yamekuwa maneno mengi kuwa Iddi amini ndio alituanza sie kwa kuingia kwenye mpaka wetu wa uganda na mkoani kagera na kujimilikisha
Wengine wanasema HAPANA, JK ndio mwanZilishi maana yeye baada ya iddi amini kumtoa...
We mtu? Si ni magoal ya la liga tuu hayo messi aliyofunga kwa misimu na kuvunja rekod ya zarra ya magoal 251, statistically messi kamzidi vibaya kwa magoal ronaldo. La liga 253, uefa 74, argentina....!! Usiongee vitu kama haujui au google
Milion dolar question, NI VIPI MTUHUMIWA WA MABOMU ALIYEKUWA ANATOROKA APIGWE RISASI YA MBELE YA TUMBO?
Tusilete uchama au udini, tuelezane tuu inakuwaje?
Tupeni HISTORIA ya maisha ya Marehemu huko nyuma, kwa wanaomjua. Aliishi wapi? Na alikuwa anafanya nini? Na maisha yake na jamii yalikuwaje...
Hii nyumba iko afrikana sanaa, kijitonyama
Price; 300 mil
Plot ukubwa; 1200 sqm
Kilichopo; 6 bedrum house
Eneo; kiko barabarani kubwa afrika sanaa, just opposite na bamaga shell au mkabala na corner bar.
Contact; pls pm, mi mwenye nyumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.