Recent content by SURA YA KAZI

  1. S

    Kama serikali ya Kikwete ilikubali wahitimu wa form four kuingia Udom, wao wana kosa gani?

    Mwalimu wetu mmoja(raia wa Uingereza)wakati anatufundisha somo la kemia kidato cha tano na sita alikuwa alituonea huruma kwa muda tunaopoteza kusoma masomo(matopic magumu:organic,inorgonic,physical,practical chemistry)ambayo ukifika chuo kikuu unayosoma tena upya... Ni kweli kufika kitengo...
  2. S

    Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Ilisemwa chagua MAGUFULI... Ni mchapakazi Ni mfuatiliaji Ni MUADILIFU... Muda wa PROPAGANDA umeisha ni muda wa VITENDO. Kama kuna mushkeli kwenye udahili wa binti ni KUTUMBUA TU kama ifuatavyo...hamna namna. Vodacom,kazi ni kwako..
  3. S

    Picha ni mbaya: Aibu ya vyoo vya Mwananyamala hospitali

    Nchi yetu hii mpaka tumezoea(tumelemazwa na) misaada kutoka kwa wahisani mpaka vitu vidogo ambavyo hata sisi wenyewe tunavimudu ki uchumi tunataka kusaidiwa. Mathalani utaskia eti chandarua ni kwa "hisani" ya watu wa marekani... Si lengo langu kulaumu...hatahivyo ningependa na sisi kama wana...
  4. S

    Kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya watu Tanzania

    Nauliza tu: Hivi nchi yetu inatakiwa iwe na idadi ya watu wangapi ili serikali iweze kutoa "huduma bora" kwa kila raia? Kama hiyo idadi bado haijawekwa bayana kwa mtazamo wa kawaida hii dhana ya "ongezeko la idadi ya watu lidhibitiwe" itakuwa ni PROPAGANDA za watu wanaozitamani RASILIMALI zetu...
  5. S

    Mbunge: Tubomoe sanamu ya askari tuweke sanamu ya Diamond pale Posta

    Kiswahili chake pia ni tia maji tia maji... "...ingekuwa amli yangu...mnala..." Mnala ndio mnyama gani?
  6. S

    Hongera mzee Bakhresaa, kijana Mohamed Dewji na mzee Mengi kwa Uzalendo

    Kwanza nawausia pamoja na kuiusia nafsi yangu tuache ubaguzi... Mweupe kumbagua mweusi ni ubaguzi,na kinyume chake pia ni sahihi. Pili si busara kutafuta(kusingizia,kusukumia)makosa/lawama upande mwingine ilihali mapungufu tunayo sisi wenyewe(NGOZI). Tujiulize: Tunapendana kama jamii?tunaoneana...
  7. S

    Yanga yatinga fainali Kombe la Shirikisho

    Watoto wajeycha oyee... Kipi kinawafurahisha wakati "jeycha" kafungiwa mwaka mmoja kutokana na maamuzi yake mabovu yaliyopelekea team jeycha kupata huo ushindi? Team jeycha mkizidiwa kimchezo mkubali matokeo...muwaambie na hao majeycha walijue hilo.
  8. S

    Mnaoibeba Yanga hamuisaidii, mnaiumiza...

    Marefa nao wengiwao ni hivyo hivyo.mara nyingi hawaoni matukio kwa ukaribu au "angle" sahihi...aghalabu wanakuwa mbali na tukio husika...na wao wanabahatisha bahatisha tu... Nitatoa mfano...ktk shambulizi la kustukiza(counter attack) Geofrey Taita alimwangusha Okwi ndani ya boksi refa akapiga...
  9. S

    Mnaoibeba Yanga hamuisaidii, mnaiumiza...

    Ushauri: Nenda na kamera taifa.Vua ushabiki wako.kaa jukwaa kuu karibu na uwanja(VIP B/VIP C ) kaa maeneo mkabala na boksi la 18(usikae nyuma/pembeni ya goli)fanya kazi moja tu mmulike mshika kibendera na offside zake...nyingi kati ya atakazonyanyua kibendera unaweza gundua hayupo kwenye sehemu...
  10. S

    Mnaoibeba Yanga hamuisaidii, mnaiumiza...

    Muda mwingine unaweza kusema mshika kibendera anapendelea kumbe maskini ya mungu hakuwa na kasi ya kutosha kuweza kuona offside kwa uhakika. Anabaki na kigugumizi ninyanyue kibendera au nisinyanyue...anatoa uamuzi mbovu sie tunaona anapendelea kumbe ukweli ni kwamba ameshindwa kwenda na kasi ya...
  11. S

    Mnaoibeba Yanga hamuisaidii, mnaiumiza...

    Tukubaliane jambo moja... Bongo hatuna waamuzi...hatuna marefa wala washika vibendera makini...huo ndio ukweli usiopingika. Jiulize, Je,yupo mwamuzi yeyote anayechezesha/aliyechezesha mechi za michuano ya klabu bingwa Afrika ama kombe la shirikisho kwa miaka ya hivi karibuni? Yupo yeyote kwenye...
  12. S

    Klabu ya Simba yamfungia Kessy

    MAKUZI dawa yake MAKONZI tu Ukikaa na wakubwa usilete mambo ya kitoto
  13. S

    Klabu ya Simba yamfungia Kessy

    Mawakili wanaomtetea Kessy wako wengi sn sijui kwa nn... Hawaoni huyu mchezaji anavyoigharimu timu ktk mechi muhimu??? Kwa jicho la mbali utaona huyu bwana bado hajitambui...hajajua thamani ya jezi ya Simba Sports labda...ni kama analeta makuzi kwenye nyoyo za wapenzi wa Simba...kumpasia Ngoma...
Back
Top Bottom