Recent content by supu ya pweza

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Maua guest house ipo karibu na Nangwanda Sijaona.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maandamano yamefanikiwa

    Nachojua jana mkoa wa Mtwara, Lindi na Tanga shughuli za kiuchumi zilikuwa kama kawaida hakuna mtu aliyekuwa anajua kama kuna maandamano
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mbona uzalishaji umeme wa Julius Nyerere hatuoni umuhimu wake?

    Kwani mpaka sasa hivi umeme vijijini Tsh 27,000?
  4. S

    JamiiForums Tanzania KERO Najutia kusoma fani ya Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics – MVM), Ajira Portal imetusahau kabisa

    Utakuwa sio fundi mimi mzuri.... Kuna jamaa yupo gereji ya wachina hadi gari ya kutembelea amepewa na mchina kwa sababu is best mechanic jamaa salary anayokunja kwa mwezi kuna watu wapo serikalini na master zao pamoja na posho hawaingii. Kama ni fundi magari mzuri hasa kwa mchina hauwezi...
Back
Top Bottom