Recent content by supu ya nguruwe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Upi mkoa wa ndoto za maisha yako?

    Mimi sehemu yoyote nakaa ila Dar kwakweli hapana ... SIPAPENDI pa kiduanzi sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mlimani City (Dar es Salaam) Vs Rock City Mall (Mwanza)

    Jaman kuna ubishi umezuka apa.... Kati ya mlimani city na rock city mall ni lipi lenye thamani kubwa? Achilia ukubwa wa biashara na wingi wake,,,, dhamani ya sehemu izi mbili tu pekee.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar kweli Jau... Oneni huyu huwezi kujua ni Mwanamke au Mwanaume

    Uyo kwani ni mwanaume
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye kikosi bora cha dunia hakuna hata mmoja kutoka epl, nini maana yake?

    Mimi naona kuna tofauti ya ubora wa ligi, ubora wa timu na mchezaji mmoja mmoja ... Yawezekana EPL haina wachezaji wazuri Sana au timu bora lakin ikawa ligi bora kutokana na kiwango cha ushindani.... EPL ni ngumu Sana kujua ipi ni timu kubwa na ipi ni ndogo...... Mim naona ligi kua bora ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Aise kifurushi cha Azam kimeisha nimebakiwa na TBC1 nimeteso makubwa.

    Hahahah kifurushi changu pia kimekata... Kuliko kuangalia TBC bora tu kuzima TV kabisa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Pole bro ... Usiwe unatoa pesa kizembe ivo kwa wanawake hawa
  7. S

    JamiiForums Tanzania CPA foundation level mwanza

    Natafuta wa ku discuss nae CPA foundation level nipo maeneo ya Ngudu kwimba mwanza. haya mambo bila discussion hayaendi kabisa.....
Back
Top Bottom