Recent content by Supu ya kokoto

  1. Supu ya kokoto

    Raia wa Zambia na Malawi watatakiwa ku-deposit 15000 USD kabla ya kupewa VISA

    Warundi ni moja ya watu wasiopendwa hata kidogo....sijui tatizo nini manake hata hapa nchini MTU akikuita mrundi ni Sawa na aliyekutukania mamaako.
  2. Supu ya kokoto

    Protocols za Mazishi ya Spika Mstaafu zipoje?

    Misosi ni muhimu yatengwe maeneo ya wazi kote nchini tukapange foleni angalau hii wiki nzima tule tukiomboleza....
  3. Supu ya kokoto

    Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

    UCCM umekuharibu....am sure huna elimu kubwa kivile no wonder Una umasikini jeuri ndani yako.
  4. Supu ya kokoto

    GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Sisi tunaomboleza wao wanasherekea. Hatuwezi wote kulia nchi nzima . Kikubwa tujifunze kuwa wanyenyekevu tunapokuwa hai. Law of equity.
  5. Supu ya kokoto

    Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya

    Utaeleweka kwa wachache. Ndoto huanzia akilini
  6. Supu ya kokoto

    Tumefikia hapa na huyu mrembo,niweke gia number ngapi ili nitafune hii mali?

    Inaweza ukawa unachat na chatgp au hata robot la nape....yote yanawezekana.
  7. Supu ya kokoto

    Ninaiomba Serikali iingilie kati kuhusu hawa panya wapya hapa Dar ni kero

    Yaani watu wa dar mnateseka Sana. Panya Tu serikali iingilie...?
  8. Supu ya kokoto

    Simu inauzwa

    Angalau ingekuwa 64 GB na kuendelea
  9. Supu ya kokoto

    Mikataba ya mangungo katika jina la Uwekezaji

    Hapo kwenye kanda bongo man....katunasa kibao cha tako.
  10. Supu ya kokoto

    Alliens kuivamia dunia?

    Uhuru wetu WA KUCHAGUA umeporwa.....jukumu limebaki kwa wajumbe wanaonunuliwa kama mandaazi. Waje Tu hao viumbe. They can help somewhere maybe
  11. Supu ya kokoto

    GE2025 Wajumbe Tabata watakiwa kutoka nje baada ya kupiga kura

    Ivi sifa ya kuwa mjumbe ni ipi. Nataka Sana ujumbe
  12. Supu ya kokoto

    Nilimtongoza mwanamke miaka 30 iliyopita, amenipa wiki 2 zilizopita

    Vikongwe wako Kenya , Tanzania umri mwisho 35 yrs from there hatusogei mpaka tunakufa.
  13. Supu ya kokoto

    Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

    Opponent 10 Vs you 0. Hapo mechi haijaanza vipi utacheza?
Back
Top Bottom