Ukitaka iwe hivyo kwa urahisi, tumia ushawishi wako ulionao na ukamshawishi huyo Membe ahamie hata UKAWA agombee nafasi ya urais akiwa huko ili 2020 wakutane kwenye majukwaa na Magufuli halafu baada ya tarehe 25 October 2020 uje uniambie kati yao hao wawili nani amepita! Mnaumiza akili tu kwa...
Kinyanganyiro cha kuanza kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo kwa mjibu wa kanuni za chama bado. Sasa yeye akianza harakati hizi mapema sana, yatamkuta yale yaliyomkuta ndugu LOWASA. Someni kanuni za chama nadhani ndiyo mtayajua haya. Lakini mkiwa mashabiki tu, hamtayajua.
Kwani kwenye kinyanganyiro cha kumteuwa mgombeaji kwenye chama cha CCM 2015 Magufuli na Membe wote si waliomba kuteuliwa? Je, kati ya hao wawili, ni nani alipita na kuchaguliwa kuwa Rais? Hizi kelele mnazopiga wala hazina maana. Membe afikirie tu Urais 2025 na siyo 2020! Kama hautaki, ukweli...
Ndugu yangu! Huyo Membe hana jipya. Kama angekuwa na ushawishi aliyokuwa nao Lowassa mwaka 2015, tungesema sawa. Lakini kwa sasa usitegemee lolote jipya kutoka kwa Membe. Hii ni kutafuta tu front page na kiki kwenye vyombo vya habari. Kamati ya maadili ya chama iliyomkata bwana Lowasa 2015...
Wewe nakuona kama vile unaota ndoto ya mchana. Kama ni urais, basi mumushauri huyo Membe ajiandae kugombea 2025 na siyo 2020. Lowasa naye alijiandaa kabla ya 2015, Kilichomtokea nadhani wote tulishuhudia, sembuse Membe!!
Habari za asubuhi wana JF?
Awali ya yote, nimetanguliza salamu kwenu nikiwa na matumaini kuwa mko vizuri. Katika chapisho hili, nimependa kutoa hitaji langu kwenu kuwa kupitia jukwaa hili, ninahitaji kumpata mke mtarajiwa ambaye tutajenga pamoja familia. Napenda kumpata mwanamke ambaye anaanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.