Recent content by suplex city

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janet Magufuli

    na yeye atakuwa na NGO yake kama mama salma na WAMA.
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamerudia yao, watanzania mtaisoma namba!

    Vitaendeshwa na power bank
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamerudia yao, watanzania mtaisoma namba!

    Huku kwetu tangu saa 3 asubuhi hakuna umeme na usiku ulikuwa unakatka katika sana watu wa ccm wanalalamika kweli sanaki zao zinaoza kwenye mafriji
  4. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro Kusini, Wilaya masikini kuliko zote Tanzania

    Lami ya matombo haijabanduliwa bali imetom.....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    Mwita mbunge wa ukonga
  6. S

    JamiiForums Tanzania Angalia ramani alikoshinda Magufuli na Lowassa

    Kweli kanisa labda ingekuwa mil8 kwa laki 2 ndio ingeendana na hiyo ramani.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Joseph Pombe Magufuli awamu ya tano, 2015 hadi 2020

    Kilimo cha kisasa cha ubuyu dodoma
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Joseph Pombe Magufuli awamu ya tano, 2015 hadi 2020

    Elimu bure kuanzia vidudu had form4 kuanzia mwakani.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mwita mpambanaji alikuwa rais wangu wa darusu miaka ya 2004/2005 yupo vizuri sana.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    Kweli kabisa kaka mfano kwetu muleba kusin wameniangusha kweli kumrudisha yule mama fisadi tibaijuka na huko ni watu wenye shida kweli sasa nimeshawambia ndugu zangu sitaki simu za mizinga wafe wenyewe na ccm yao mimi huku dar sina shida kila mtu afe na shida zake.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dr.JP Magufuli mteue mama Regina Lowasa kua mkuu wa mkoa wa Dsm

    Atakuwa mbunge viti maalumu chadema lazima bunge liwake.
  12. S

    JamiiForums Tanzania JK AMPONGEZA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI IKULU, "Picha na Maelezo"

    Mbona hajaenda na mkewe kaenda kihuni tu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

    Tatizo ni escrow
  14. S

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa - Shujaa wangu

    Chadema wangempa viti maalum tu
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Umeme umekatika jamani na hii tanzania ya magufuli ni ya viwanda uwiii tumeliwa.
Back
Top Bottom