Recent content by superx64

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuformat computer yenye window xp. Hakuna haja ya kumpelekea fundi jamani

    Ninashukuru kwa kutufungua macho,hata hivyo nina swali linanisumbua siku zote kwa naomba hebu toa maelezo namna ya kufanya back-up ya vitu vilivyo kwenye hard drive tafadhali.Ahsante
  2. S

    JamiiForums Tanzania Juma kaseja kufungwa 5-1 misri anatufaa taifa stars?

    Timu si golikipa peke yake bali kuna wachezaji wengine 10 zaidi ambao hupaswa kusaidiana na kucheza kwa umoja,na ndiyo maana umoja huo ukaitwa "timu ya mpira wa miguu"
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta architect na materials analyst-Nisaidieni

    Ee bwana inabidi uende taratibu kwani matapeli wengi siku hizi!!
Back
Top Bottom