Recent content by Supervisor

  1. Supervisor

    Mfumo wa Lawson haupatikani; Tatizo ni nini?

    •Mabenki yote nchi nzima wanalalamikia mfumo wa Lawson kutofanyakazi wiki ya 4 sasa. •Wanashindwa kuwahudumia Wateja wao nchini. •Ni wakati sasa TAMISEMI na Wizara ya Fedha Wajitokeze ili kuwaelezea Wananchi Nini shida!. Kwa sababu ni wiki ya Nne sasa Ma-afisa utumishi hawawezi tena kuingiza...
  2. Supervisor

    Hesabu zinavyoigomea Serikali ya wanyonge na viwanda

    Hili la nyongeza ya mishahara na ajira litampa shida sana mwakani. Sihitaji kusikia bombadieree wala Sgr wereva
  3. Supervisor

    Hata Rais akiwa kanisani hawezi kuchangamana na waumini wengine?

    Hivi hapo aliposimama atokee mtu kwa nyuma na shabsha zake unadhani kiatu hakimfiki kisogoni? Wee acha bwana watu hajaamua tu
  4. Supervisor

    Hata Rais akiwa kanisani hawezi kuchangamana na waumini wengine?

    Kuna siku atageuka hata ona mlinzi hata mmoja
  5. Supervisor

    BUKOBA: Mamlaka ya Maji(BUWASA) yakatiwa umeme kwa madeni, wananchi wateseka kwa kukosa maji

    Kigoma sasa ni siku ya nne hakuna maji sasa wanamkomoa nani
  6. Supervisor

    SIDO ifumuliwe awamu hii ya Viwanda

    Hakuna mnalolijua kuhusiana na SIDO
  7. Supervisor

    Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

    Jana post yako ilifutwa haraka sana
  8. Supervisor

    Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

    Tutegemee TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI by G. Msigwa very soon.
  9. Supervisor

    Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Kama kesho Gwajima atahubiri pale Ufufuo na uzima Basi ategemee waumini wengi kutoka central
  10. Supervisor

    Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Wasukuma Bwana... Hivi ni Pascal au Paskali? Kama umeamua kuwa mtumwa kubali sio unabadili Jina la Malikia kuwa la kanda ya ziwa...Basi tumia hilo Mayala linatosha
  11. Supervisor

    Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Wamuache Jumapili aongee na familia yake jamani...
  12. Supervisor

    Mh Kassim Majaliwa, baada ya tar 1/3/2017 stock iliyobaki ya viroba ipelekwe wapi?

    Matatizo ya uchumi wameyaleta wenyewe. Mpaka ufikie level ya Kitwanga ni leo? Kwa hela ipi
  13. Supervisor

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Yale aliyoongea na mama wema ilikuwa ni usanii na anayoongea leo ni usanii pia kuna siku atasema tu
Back
Top Bottom