Recent content by Supertec

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kabla sijapigwa udalali naomba kujua bei ya kioo cha TV flat inch 24

    Bei laki 120 ila bora ukanunua mpya tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Watu ambao kila wakiongea wanamtaja Mungu ni watu hatari sana jina la Mungu wanalitaja tu ili waonekane ni wema kumbe ni wauaji wakubwa. Kwenye utawala huu kuna watu wawili kila wakiongea wanajifanya kumtaja sana Mungu kwa kisingizio cha kumtanguliza Mungu mbele. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Meli ya uvuvi iliyokamatwa bahari ya Hindi ilizamishwa kupoteza ushahidi ndio maana nilimteua waziri kichaa kama mimi

    Jiwe ni kichaa, Mpina kichaa, Kangi Lugola ninja. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa fedha na mpango hospitali ya Rufaa Bugando, mtawa Suzan Bathlomeo ajirusha Ghorofani na kufariki

    Kwani sister siyo binadamu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waitara: John Heche Alipata Sifuri Kidato Cha Nne, Anatumia Cheti Cha Dada Yake

    Sifa pekeee ya kiongozi wa siasa ajue kusoma na kuandika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akamatwe kwa kudhamiria kuhujumu zoezi la ukusanyaji kodi

    Lema aliota ndoto akawekwa mahabusu, je ndoto siyo maswala ya kiimani? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rungu la mabadiliko laja kufyeka Majimbo ya Uchaguzi 84 na nafasi za Viti Maalum 44: Serikali kuokoa Tsh. 122,000,000,000.

    Mi naona ni bora bunge lifutwe kabisa coz bunge la sasa halina say yeyote kwenye utawala huu wa jiwe. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania TBC punguzeni uzalendo

    TBC ndo kitu gani aisee
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hawa TCRA siwaelewi, Anayewaelewa anisaidie kuwaelewa.

    Kwa wale mnatumia decoder za dish amuwezi kuona FTA(free to air) channel wenye fursa ya kuona channel za ndani ni wale wanaotumia ving'amuzi vya antena pekee.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi waliojaribu kumuua Tundu Lissu bado hawajakamatwa?

    Watakamatwa na Mwenyenzi Mungu siku ya mwisho mkuuu
Back
Top Bottom