Hata uwanja wa Kaitaba Bukoba sehemu ya jukwaa kuu kuna vyumba 2, chumba kimoja kimefungwa kwa kufuli wakati mechi zikiendelea. Chumba cha pili wametoa mlango ili kisitumike. Sehemu ya kukojoa ndo usiseme, pachafu kama nini. Swali, uwanja wa Kaitaba unamilikiwa na nani?
Kati ya uzalendo wa Magufuli ni kuhamisha fedha ya ujenzi wa ndege wa Kajunguti (bukoba) hadi Chato. Matokeo yake uwanja wa Bukoba ukabaki hatarishi, ajali ya ndege ya Precision mwaka 2022 Kati ya mambo mengine ilisababishwa na uwanja kukosa taa wakati wa mvua. Pia na kukosa tawa la kuongoza...
Wasimamizi wanaeleezwa mshindi ni nani bila kujali idadi ya kura alizopata. Tabia hiyo ikiendelea, tunakaribisha majanga, sawa tuliyoyaona 2020 baada ya uchaguzi wa Magu.
Nyarandu ni mwanamme wa shoka. Ni aibu kusema Magufuli alikuwa meamba, wakati alitegemea zaidi watu wasiojulikana kuwashugulikia wale waliompinga kwa kuwatumia vitisho, kuwateka, kutoa fedha kwenye akaunti zao za benki, kuwaua na madhara mengine mengi.
Majuzi imetokea ajali ya gari kugongana na kichwa cha treni hilo Singida. Lawama zote zikaelekezwa kwa dreva wa treni. Wenzetu Ulaya wametumia teknolojia tena ya bei rahisi kubadili mambo. Makutano yote ya barabara kuu na reli yamepewa vizuizi vya automatic, kufunga beria ya barabara, kupiga...
Ukweli ni kwamba Tanzania au Tanganyika tunaongozwa na sheria zilizopitwa na wakati. Twende kwa wenzetu Ulaya, tujifunze sheria za reli onapokatisha barabara kuu. Maneno kwamba dreva wa gari kagonga treni waliyafuta zamani, sisi tumebaki kukariri ili shirika la reli lisiwajibike.
Imeundwa...
Watanzania tunauwawa kama kuku. Akitokea wa kuhoji, jibu ni kama: muulize mama yako, wewe ni chadema, wewe ni ccm, umetumwa na Nape? TUTAKUFA HADI LINI? Waongoza mauaji wanazawadiwa vyeo!
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Hata TBC kwenye taarifa ya habari saa 1 asubui 10.10.23 wameendeleza makosa toka itv na radio1 kwa kusema eti Tanzania na India wanaendeleza uhusiano ulioanzishwa na Nyerere na Mahtima Ghandi.
JPM alitumia mazingira ya rushwa ya juu (grand corruption) akahamisha fedha ya kujenga uwanja wa ndege wa Kajunguti bukoba hadi Chato. Ndege ya Precision kutumbukia ziwa victoria mwaka jana ilichangiwa na uwanja hafifu uliopo kwenye hali mbovu ya hewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.