Recent content by Superpower

  1. Superpower

    Nahitaji kupingwa kwa hoja kwa mambo ninayo amini kuhusu watu weusi

    Ubinafsi wakujimaliza mwenyewe na kizazi chako utahira AKA laana iliyotukuka
  2. Superpower

    Freelancers mnatoaje pesa toka Payoneer card to Airtel Money

    Poa nashukuru mkuu ngoja ni angalie uwezekano na vipi nikitoa kupitia ATM wanacharge tsh ngapi au nikitransfer bank wanacharge kiasi gani maana nimeambiwa kuanzia mwaka 2021 walikua wanacharge $15 transaction fees hii imekaje
  3. Superpower

    Freelancers mnatoaje pesa toka Payoneer card to Airtel Money

    Nashukuru mkuu ila imegoma wanasema Hawa support hii kadi
  4. Superpower

    Freelancers mnatoaje pesa toka Payoneer card to Airtel Money

    Nashukuru mkuu ila nimetumia hiyo option ya kwanza naona Kama nimekwama sehemu kwamaana sioni sehemu ya kuweka namba za MasterCard yangu au kunasehemu nakosea
  5. Superpower

    Freelancers mnatoaje pesa toka Payoneer card to Airtel Money

    Wakuu Kama nilivyo ainisha kwenye kichwa hapo juu msaada please.
  6. Superpower

    Nitatumia solar na betri Gani?

    SAWA MKuu nashukuru Kwa msaada ila bei ndio si jajua bado ila kama una bei za dsm unaweza nitajia maana Kuna sehemu huku kwetu huwa bei zinatofautiana kidogo na za dsm
  7. Superpower

    Nitatumia solar na betri Gani?

    Hapana sihitaji kununua inverter Kwa sababu nahitaji tu DC
  8. Superpower

    Nitatumia solar na betri Gani?

    Na bei inaweza kunicost tsh ngapi?
  9. Superpower

    Nitatumia solar na betri Gani?

    Wakuu nahitaji kujua nice nitatumia solar ya watt ngapi? Na betri la AH/N ngapi? Ili niweze kuwasha taa mbili na kucharge simu mbili zenye jumla ya mAh 6000 kila siku hata kipindi cha kifuku. Naomba kujua na bei
  10. Superpower

    Mawazo ya kutoka kimaisha kwa mtaji mdogo

    Kwa ninapo kaa kifuku heka 1 ni millioni mbili kuhudumia na unaweza vuna hata million 15 Sasa Kwa heka kumi hii ni zaidi ya biashara nyingi tu.
  11. Superpower

    Mawazo ya kutoka kimaisha kwa mtaji mdogo

    huu Sasa ni utani unazijua heka 10 za nyanya au umeongea kunogesha kijiwe
Back
Top Bottom