Recent content by supermarket

  1. supermarket

    Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

    Mungu ataendelea kubaki na wewe hata watoto na mke wakikukimbia.
  2. supermarket

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Watoto wana akili, ni kiwa train tu kwamba baba anapenda mpira. Basi wanajua kabisa anakuuliza baba kesho kuna mpira?, saa ngapi? Unamwambia ndio saa 3 usiku simba inacheza. Ratiba za baba zinajulikana mbona. Basi atakuwa huru, mpaka ikifika muda huo hata hashangai kuona umeweka mpira. Kuna...
  3. supermarket

    Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Utamu wa kitu chochote ni kwa wewe mwenyewe mlaji unakichukuliaje na ladha yake umeielewa vipi. Hata vyenye chumvi, sukari, limao, uchungu na harufu kwa wengine ni vitamu. Ili uone utamu wa ndoa inabidi akili yako ipokee mtazamo chanya kuhusu ndoa ndo utamu utauona. Zipo familia zinaishi...
  4. supermarket

    Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Tembea uone, usikae maeneo ya aina moja au kama uliona ndugu au mzazi akiteseka kwenye ndoa haimaanishi na wewe utateseka. Badilisha mtazamo wako upande mwengine ufungue ufahamu wako uone mengi mazuri ambayo yapo kwenye ndoa. Ndoa ni maisha kama maisha mengine na wewe ndo dereva wa taasisi ya...
  5. supermarket

    Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Vijana wa kiume sasa hivi wamekuwa walaini sana kumuogopa mwanamke ambae ameumbwa kutoka kwa ubavu wake. Sawa, hatukatai, ndoa zinachangamoto. Lakini ukweli kila kitu kinachangamoto dunia hii hata maisha yenyewe ni changamoto, shule ni changamoto na biasharani ni changamoto. Dunia yenyewe...
  6. supermarket

    Sometime "Kataa ndoa" Uwa wana hoja

    Wanapoendelea kukataa ndoa kwa muda mrefu hata kama wanatania baadae akili zao zitajengeka hivyo hivyo hakuna umuhimu wa ndoa. Wakija kushtuka utuuzima na uzee huu hapa. Wengi wanaokataa ndoa, kisaikolojia hawapo sawa kwa sababu ya kushuhudia matatizo ya ndoa na kuyachukulia personally Duniani...
  7. supermarket

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Dalili za kwamba una jini mahaba. Ufanyiwe dua, maombi na visomo litoke.
  8. supermarket

    Ukweli Mchungu: Simba atapigwa nje ndani na Al ahly

    Tz. Simba 2 - 1 Al ahly Cairo Al ahly 1 - 0 Simba
  9. supermarket

    Hivi ni mimi tu ndio nipo single kwa miaka 24 au Ndiyo nimefanywa niwe kama mfano kwa wengine

    Kwanini upo single? Una uoga wa kukataliwa, uoga wa kutongoza, uoga wa kumiliki mwanamke, uoga wa maisha. Yani bro, wanawake wote hawa kibao kila kona wapo
  10. supermarket

    Mliweza vipi kuoa?

    Madhara ya kutembea na wanawake wengi yanakuharibu akili kisaikolojia huoni umuhimu wa kuoa. Ladha za wanawake wote unazijua, mambo yote unayajua na hata ukiwa na hamu unaweza kuziondoa bila kuumiza kichwa. Hapo huwezi kuona umuhimu wa ndoa, mpaka umri ukishaenda ndo unakuja kugundua kwamba...
  11. supermarket

    Mliweza vipi kuoa?

    Ukitaka kuoa, hutakiwi kufikiria sana na kuchunguza kila kitu. Hakuna ambae utamkuta yupo perfect ili mradi tu amezaliwa na mwanamke. Anaweza kuwa na historia nzuri akabadilika baadae ukiwa upo nae mikononi mwako. Changamoto zipo tu, mtoto wa kiume hutakiwi kuogopa changamoto. Muombe Mungu...
  12. supermarket

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Mmedumu kwa muda gani?
  13. supermarket

    Umekula nini leo siku ya kwanza ya mwaka mpya 2024?

    Chips zege, peps + karanga mbichi
  14. supermarket

    Msumari wa mwisho wa Simba ni Mechi ya Azam

    Msimu huu timu ya Azam Fc ipo vizuri sana kiushindani. Kuchukua point kwa azam ni lazima upambane sana. Ni wazi amedhamiria kuwa bingwa
Back
Top Bottom