Recent content by SuperAntonia84

  1. S

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Hao wamechakachua tu si bure watusiku hizi tumefunguka vizuri kuhusu ccm si lolote c chochote.
  2. S

    Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

    Tena hiyo kule Nairobi wamenunua mtaa wa Islii mtaa wa matajiri wakenya hawana lao pale town labda awe na hela kana gaddafi wa zamani ,eti nackia uzushi kwamba hata yule Msomali hoteli zake anaziunguza makusudi ili alipwe na bima wakijaa huku tumekwisha jamaa wana hela mbaya tena nackia wengine...
  3. S

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Aise mambo noma mwana leo ndio leo asemaye kesho mwongo.
Back
Top Bottom