Recent content by Super_Grego

  1. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    Shukrani Sana, Ubarikiwe
  2. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    [emoji1787][emoji1787]
  3. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa
  4. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    Iruke post mkuu, tafuta yenye bei. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    Hapo nimekuelewa mkuu, mwanzo nilikua sijakuelewa. fayfashiontz.kyte.site au Application yetu iliopo Google play store Kwa Jina la Fay Fashion Tanzania, ina bei, mawasiliano na bidhaa zetu ktk categories vizuri kurahisisha kuperuzi. Pia Instagram na Facebook.
  6. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    Ambae hayupo serious ni Sisi au ni anaetokea Ruvuma? Sijaelewa hapo.
  7. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    Hatuna bei ya laki Tisa, fika ujionee usikubali kuhadithiwa.
  8. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    Asante na Karibu Sana.
  9. Super_Grego

    JamiiForums Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

    Karibuni Sana Fay Fashion Tanzania yenye Duka lake Jengo la NHC House Mtaa Samora, Dar es Salaam, Kwa bidhaa Bora kabisa za Ngozi halisi zilizotengenezwa Tanzania.
  10. Super_Grego

    JamiiForums Serikali yaagiza majeshi kununua viatu kutoka kiwanda cha Kilimanjaro Leather Industry

    Nina wasiwasi na uelewa wako ktk vitu vya ngozi. Ngozi ni tofauti na kitambaa au Karatasi.
  11. Super_Grego

    JamiiForums Serikali yaagiza majeshi kununua viatu kutoka kiwanda cha Kilimanjaro Leather Industry

    Kuna wadau wengine matata Sana wa leather products, wanaitwa Fay Fashion Tanzania. Japo wamespecialize ktk leather bags za kisasa kabisa
  12. Super_Grego

    JamiiForums Mabegi mazuri ya ngozi kwa Ofisini

    Hawa Fay Fashion Tanzania wao ni Ngozi halisi ya Ng'ombe. Inasemekana walijifunzia nchini Japan.
  13. Super_Grego

    JamiiForums Mabegi mazuri ya ngozi kwa Ofisini

    Nimewapata jamaa wanaitwa Fay Fashion Tanzania. Hawa jamaa ni hatari ktk Pure Leather Products, nadhani ndio wa Kwanza Kwa ubora Tanzania.
  14. Super_Grego

    JamiiForums Mabegi mazuri ya ngozi kwa Ofisini

    Kiwanda cha Keko kinaitwaje hicho?
  15. Super_Grego

    JamiiForums Mabegi mazuri ya ngozi kwa Ofisini

    Hapo sikufanikiwa
Back
Top Bottom