Mabegi mazuri ya ngozi kwa Ofisini

Mabegi mazuri ya ngozi kwa Ofisini

Super_Grego

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
27
Reaction score
18
Habari Wadau. Naomba kujua wapi wanatengeneza mabegi Mazuri ya Ngozi halisi Kwa ajili ya Mikutano. Haya mabegi ya Kichina yatatutoa roho, wiki chache Tu yanaanza kubabuka.
 
Uko mkoa gani ili upate kuelekezwa mkuu
 
Habari Wadau. Naomba kujua wapi wanatengeneza mabegi Mazuri ya Ngozi halisi Kwa ajili ya Mikutano. Haya mabegi ya Kichina yatatutoa roho, wiki chache Tu yanaanza kubabuka.
Mabegi mazuri ni ya lebo ya John White ambayo hutengenezwa kwa kutumia ngozi ya nguruwe.
 
Hawa Fay Fashion Tanzania wao ni Ngozi halisi ya Ng'ombe. Inasemekana walijifunzia nchini Japan.
d49848c6-b0b7-45d6-a52d-2cdc9313d81a.jpg
IMG_20221015_174521_023.jpg
 
Back
Top Bottom