hahahahah nimeipenda hiyo mm nataka niwe jabali kabisa manake hawa viumbe wakujifanya tumetoka ubavuni mwao huwa hawaishiwag vitimbwi...... usipokua kauzu wanakupeleka mpera mpera sana...
kuna vitu ambavyo havifai kuvumilia cuz wengne unakuta anapigwa daily kifo cha mbwa mwitu utangangania tu kuishi nae kisa unaogopa kuachika... haya ni maisha pale mtu unaona umeshindwa uvumilivu unajikataa tu... ndoa cyo pepo wala cyo kifungo uhuru upo kama mtu anajitambua na kuelewa haki zake...
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa zinazorekebisha haraka aniambie maana nashindwa kushika mimba kwa sababu ya hilo ttzo la hormone
Sent using...
hii ndoa kiukweli haina tena furaha bali ni karaha mwanaume huyu tuseme bado ana akili za kitoto kweli mke wako mwenyew unashindwa kumnunulia usafiri unaenda mnunulia mdogo wako tena wa kike upendo wa kindugu upo but kwa hayo mkaka anayomfanyia mkewe puuu huo ni unafki mtupu mm binafsi mtu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.