Ushauri: Mke wangu kanikasirikia anadai hapendwi na ndugu zangu

nilimuambia apotezey ila bado anacukulia serious ,,kashfa yenyew ni kwamba wanadai mtoto ana puwa likubwa eti sbb eti kwamba uko wetu hmna mwenye puwa likubwa ila naona ni sbb wanamuona kweny pica tuuu sbb mimi naona dogo ni handsome kama mimi baba ake!!so wife anaposkia kashfa hizo zinamuuma na pia zinauma ila nimejthd kuzizima !

Hongera kwanza kwa kupata mtoto!!cha maana mpeleke mtoto kwa bibi/babu yake wakambebe na kumuona live. Hv vya picha vimeanza lini jamani kama picha ilipigwa vibaya au camera aina ubora.
 
Kama tangia 2012 haupo nchini na Mungu amekabariki familia ni vizuri kwenda nyumbani kidogo...... wanamuone na mtoto kwa kuwa huyo ni wa kwanza hao wengine utakao zaa hata ukiamua kubadilisha na uraia no one will bother !!!!! Nenda nyumban upatemo hata na baraka kidogo.
nafanya utaratibu in sh Allah nitakuja mwakan !!
 
muulize yeye anawapenda?kanuni ya upendo iko hivi anza kupenda kwanza wewe theni wengine wafuate ni si kazi yako kujua wengine wanakupenda,jikague wewe kwanza
tume amrishwa kuwapenda wazazi sio khiari mkuu!!upende usipendi lazma mzazi umpende !!!
 
Hongera kwanza kwa kupata mtoto!!cha maana mpeleke mtoto kwa bibi/babu yake wakambebe na kumuona live. Hv vya picha vimeanza lini jamani kama picha ilipigwa vibaya au camera aina ubora.
wamemuona kama hata hivo unavo muona kweny avatar hapo sbb mimi sipo inchini mkuu!!kitambo toka 2012
 
Hahahahahauuu jna ndugu waswahili sana. Hadi mama yako anamsema mjukuu wake kuwa ana pua kubwa.... Aiseee kazi Ipo.
Watu wana matatizo sana
Nakumbuka wakati mwanang akiwa mdogo pale tulipopanga Mwenye Nyumba akawa anamsema sana mwanang eti oooh huyu Dada kazaa litoto libaya mnoo atakuwa alichepuka mbona mume wake mzuri
Roho iliniuma sana nkasema kwann amseme mwanang
Hata kama mbaya ni wangu
Mungu si Athuman akabeba mimba mtt alomzaa acheni bwana
Si tu kuwa HB bahati mbaya akawa kama ana mtindio wa Ubongo
Watu walimwambia kaombe msamaha kwa yule binti ulimsema sana mtt wake
 
am 100%sure fo that ma brada!!
ndugu ni ndugu tuu.....kuwa na msimamo,,,,mkeo anaweza anatafuta kudownload app ya kukuzingua.....wajanja sana hao.....kuwa na akili...ishi nae kwa akili.....
 
Watu wana matatizo sana
Nakumbuka wakati mwanang akiwa mdogo pale tulipopanga Mwenye Nyumba akawa anamsema sana mwanang eti oooh huyu Dada kazaa litoto libaya mnoo atakuwa alichepuka mbona mume wake mzuri
Roho iliniuma sana nkasema kwann amseme mwanang
Hata kama mbaya ni wangu
Mungu si Athuman akabeba mimba mtt alomzaa acheni bwana
Si tu kuwa HB bahati mbaya akawa kama ana mtindio wa Ubongo
Watu walimwambia kaombe msamaha kwa yule binti ulimsema sana mtt wake
Msamehe tu jamani
 
Ndugu yangu wasikilize Zaidi ndugu na kuwa na msimamo unapoona unasimama kwenye ukweli. Wazazi wetu wana uelewa mkubwa sana kuhusu haya mambo ya DNA ya asili (kwa kuangalia tu). Mama yako ukimpelekea mtoto atajua tu kama ni wako au sio na ukiona mama ana doubt kwa kuangalia picha tu. Usimpe asilimia zote mkeo. Wanawake ni wajanja sana na haswa akikubambikia kitu halafu akaona anakaribia kustukia atatengeneza ukuta baina yako na ndugu zako ili ugombane nao. Usigombane na ndugu zako kwa jambo hili bali lifanyie kazi kwa umakini sana ikiwezekana kapime DNA uondoe huo utata (kwa siri mkeo hasijue) na endapo utagundua mwana ni wako rudi kwa familia na uwaeleze ulichogundua na waondoe wasiwasi juu ya mwanao.

Asilimia kubwa ya mtoto ambao kuna wasiwasi juu baba ujue kuna asilimia kubwa sana kuwa si wako. Kuna fundi mmoja aliwahi kuniambia kuwa macho ya mwanadamu ndio kipimo bora kuliko vipimo vyote vya kisayansi. Kama ukuta wa nyumba haujanyooka macho yataona tu kabla hata hamjatumia measure yoyote. Hivyo hivyo katika magonjwa na hata DNA ya mtoto. Jiulize kuna watoto wangapi wanazaliwa watu hawana wasiwasi aje kuwa na wasiwasi na wa kwako. Kuna kitu hapo.

Pia usigombane na ndugu zako. Ndugu ni Baraka kutoka kwa Mungu hata ikawaje atabaki kuwa ndugu lakini mke unaweza mpa talaka kesho akawa sio mkeo tena.
 
Kuna dada mmoja amezaa mtoto ana masikio makubwa,wakwe zake kila wakija lazima wayaseme yale masikio,ila mama mwenye mtoto nadhani ana moyo wa jiwe/ana roho ya kupotezea vitu vidogo,wakimsema ye anacheka tu,tena anakazia "masikio yenu haya"
Pamoja na wakwe kukazania sio yao binti ye hua anaishia kucheka tu,au labda pengine na ye hua anaumia ndani kwa ndani

Mwambie mkeo ajifanye mjinga,apotezee tu
 
Habari za sa izi ndugu zangu,

Mimi kama mnavoona hapo ni mwana jamvi mpya ila kitambo nilikua naifatilia JF ila bado nilikua sijawa mwana memba rasmi kwasababu flani flani vile.

Kiufupi mimi ni kijana mwenye miaka 31 nimeoa na mtoto mmoja wa kiume, mimi kuna mambo fulani nahitaji msaada wenu nimeowa miaka mi 3 iliopita na mnamo mwaka jana 2017 nimebahatika kupata mtoto wa kiume, ilijulikana kwamba mimi sipo inchini toka 2012 nimemuoa mchumba wangu tulikua nae kitambo kwenye mapenzi kanivumilia sana hadi nikamuoa.

Kiufupi baada ya mke wangu kujifungua nilijulisha familia yangu na pia akawa tumia mtoto ila comment zikawa kibao kwa mtoto ila nikajitahidi kuzizima kwa namna moja ama nyingine baadae hapo ilibidi mke wangu awe kama mwenye kukasirikia, ndugu zangu kutokana na comment zilizokua zinatoka kwa ndugu zangu ila nimejitahidi sana kuzizima mambo yakaisha.

Juzi juzi nikiwa naongea na mama yangu mzazi kwa simu aligusia ile ile topic na ikawa haijamridhisha mke wangu kabisa mpaka sasa navoongea mke wangu kanikasirikia, kamkasirikia mama yangu, kakasirikia my whole familly kwa madai kwamba hapendwi kwenye familia yangu so nahitaji mawazo yenu sana kwa wale wahenga na uzoefu wa mambo ya ndoa.

Ahsanteni!
Topic gani kwamba mtoto umepakaziwa au ipi? Mbona bado sijaona kitu ambacho ndugu wameongea nakikamkasirisha mkeo? Kiweke hapa tuone kama kuna ukweli au ni gubu la ndugu
 
nilimuambia apotezey ila bado anacukulia serious ,,kashfa yenyew ni kwamba wanadai mtoto ana puwa likubwa eti sbb eti kwamba uko wetu hmna mwenye puwa likubwa ila naona ni sbb wanamuona kweny pica tuuu sbb mimi naona dogo ni handsome kama mimi baba ake!!so wife anaposkia kashfa hizo zinamuuma na pia zinauma ila nimejthd kuzizima !
kua muwas acha kufichy ficha mambo mm naona watakua wamoesema n huyo mtoto cyo wako hayo mengne unayotueleza ni kuzungukka mbuyu tu
 
Back
Top Bottom