Ni ipi dawa ya kuondoa tatizo la hormonal imbalance?

Kwani daktari wako alikupa maelezo gani kabla hujaanza kutumia dawa?!
Ni busara urudi tena ili aangalie atakupa msaada gani mwingne.
 
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa zinazorekebisha haraka aniambie maana nashindwa kushika mimba kwa sababu ya hilo ttzo la hormone

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ulizowahi kutumia ni zipi?
 
Mimba zinatoka zikiwa changa? Au haupati kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa zinazorekebisha haraka aniambie maana nashindwa kushika mimba kwa sababu ya hilo ttzo la hormone

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchek Dr mkumbo boaz MD.. facebook or instagram atakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom