Recent content by Super Charged

  1. Super Charged

    JamiiForums Tanzania TFF tumieni muda huu huu wa kutolewa kwetu CHAN 2004/2005 kumfuta Kazi pia Kocha Hemed Suleiman Morocco kwani hakuna Kocha hapo

    Tuache ujuaji Watanzania Kufungwa kupo tu Moloko ni kocha mzuri tangu aanze kufundisha Taifa Stars Imepiga hatua hata tukifungwa hatufungwi kwa mabao mengi, moloko uwezo wake unaonekana aliipeleke namungo Shirikisho. Angefanya nini ni wazi Morocco walikuwa wametuzidi uwezo na mbinu na wana...
  2. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Hakuna mpenzi wa soka aliyefurahia Taifa Stars kufungwa wanaofurahia sio mashabiki wa kabumbu au wengine ni mashabiki wa kabumbu ila hawana tofauti na sungura wa sizitaki mbichi hizi
  3. Super Charged

    JamiiForums Tanzania ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    ChatGpt Inahusikaje Hapo Hapo Ungeweza pia Kusema Ujio Wa Gari Umetimiza utabiri uliotabiriwa miaka 2500 ilopita
  4. Super Charged

    JamiiForums Tanzania ChatGPT imetimiza unabii uliotolewa takriban miaka 2500 iliyopita!!

    Unateseka Ukiwa Wapi Ndugu? Ekaeka
  5. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Sioni Kinachofanana Na Bara La Afrika Hapo Au Macho yangu ndo Mabovu
  6. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Mimi Ni Mkazi Wa Dar.Kuwa Mkazi Haimaanishi Unajua Kila Route Ndo Maana Nikaja Huku JamiiForums Kusaidiwa Naamini Kuna Wenyeji pia
  7. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Hujaelewa msingi Wa App.Msingi wa App Sio Kukupa Location Msingi wa App Ni Kukueleza Upande daladala Ipi.Mfano Nipo Manzese Nataka Kwenda Masaki App Itanielekeza Nipande Daladala za Mabibo-Makumbusho Nishuke Kinondoni Kisha Nipande Daladala za Masaki-Mawasiliano hyo Ndo Kazi Ya App
  8. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Sidhan kama Google Map Inakuelekeza Upande Daladala gani Ufike Mahali Husika
  9. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Na mimi Nilikuwa Nafikiria Hivo Ila Nimekuja Jamiiforums Kwanza Ili Nipunguze Baadhi ya Route
  10. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Shukran Una Jua route yoyote Ile?Unisaidie
  11. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa Dar Nakuhitaji Unisaidie: Natengeneza App Itakayosaidia Watu/Wageni Wa Dar Wasipotee

    Habari wana Ndugu, Nilishawahi Kupotea Dar Nina Pesa Mkononi,Naona Daladala Zinapita Lakini Sijui Nipande Ipi Ili Nifike Ninapokusudia Ghafla Paap! Naona Mdada Kasimama Mimi:Mambo Samahani Dada (Huku Nikiwa na Kiaibu cha Kuuliza Ofkoz Kuna Kiaibu fulani Ukiwa Unauliza ) Hivi Hapa Nikitaka...
  12. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

    Siku ya Malipo bado Haijafika.Mungu Akikulipa Duniani ni kwa Mapenzi yake Akikuacha Ni Kwa Mapenzi Yake Na Allah Ndo Mjuzi wa Mambo.Kama Hiyo Quran Ingemletea Madhara Mngesema Waislamu Wachawi Kitabu Chao Cha Majini,Isipoleta Madhara Mungu Kashindwa Ndo Sifa Za Makafiri
  13. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Ukomo time kukemea waongo wote kusema Jerusalem ni hollyland ya Waislam, enough is enough

    Mtoaji mada ameongea kwa Jazba Sana.Mpaka Akashindwa Kueleweka Jerusalem Sio sehemu ya Wakrtisto pia. Wayahudi ni Kabila na Ni Dini Pia. Kitendo tu cha Israel Kuwa Katikati ya Nchi Za Kiarabu,Kuzungukwa Na Nchi za Kiislamu inatosha Kuaamini kuwa eneo hilo limekaa Kiislam islam.
  14. Super Charged

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Sanduku la Posta

    Habari Wana Jamvi, Natanguliza Shukran. Nakuja Kwenu Kama Familia Yangu/Jamii Yangu. Naomba Msaada Mwenye Sanduku La Posta Ambalo Lipo Active Nitumie Kupokea Document Yangu Mara Moja tu. Mimi sio Mtumiaji wa Sanduku la Posta na Wala sijui sana kuhusu posta Lakini Imenibidi nitumie Kipindi Hiki...
Back
Top Bottom