tumpe mda na yeye atapita ila historia yake itakuwa hivi DAIMOND NDIO MSANII ALIEWEZA KUTOA NYIMBO ZINAZOPOTEZA RADHA NDANI YA WIKI kwahy mtoa mada hakuna namna tumuache
Leo ndio nimethibitisha kauli ya wahenga "kikulacho ki nguoni mwako"
Ni hivi hapa ninapoishi nipo kuna jirani yangu tulishibana sana na tulikuwa zaidi ya ndugu shida yake ilikuwa yangu yangu ilikuwa yake ilifikia hadi hatua watoto wetu walikuwa wanachagua sehem ya kulala leo nikalale kule au...
asilaumiwe msanii walaumiwe mashabiki wa msanii wengi wenu unafiki umewazid kaz kusifia tu kwenye show hamuonekan msanii anafeli kutokana na mashabiki wake

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.