Naona humu ndani Wachaga mnajitapa sana nyie ndo mna akili sana kuliko makabila mengine nchi hii ,Kwahiyo wengine sisi ni wajinga ,kwa kauli zenu za kibaguzi kama hizi nimeanza kuwachukia maana nyie ni watu wenye ukabila usiojificha na hata alilosema rais sio siri kila mtz anajua hilo lakini...
Ukimfokea ndo hizo hela zinakuja? Mi naona ndo unampa stress ashindwe hata kufocus na kazi zake zinazokufanya uende chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
MWANAMKE MWENYE GUBU KAMA HUYU
Jamaa kaamka asubuhi kavaa track suit akamuamsha mkewe
MUME:Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa?
MUME: Basi yaishe endelea kulala...
Wanaume tunajitahidi kuchuja hawa akina mwajuma hawachuji wao ni kuongea litakavyotoka tuu aibu ataiona anaeambiwa na wanaosikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo hivi, mara nyingi wadada mnateswa na midomo yenu kwenye ndoa, mnaropoka mnajibizana, mnakalipia utadhani na wewe ni mwanaume, midomo yenu miepesi kutoa neno bila kuchuja kwa waume zenu
Sasa kama sahivi mumeo au mpenzi wako HAKUSIKILIZI ujue tuu kuuanafanya hivyo makusudi kukuumiza ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.