Hehe nasikia anatoka kwenye familia ya kitajiri sio masikini anayetegemea siasa kama yule jamaa Tindu. Hili limekaaje?
Pia Wakurya wanapendana sana na wanapesa hawashindwi kumsponsor kijana wao na harakati zake.
Hili sakata kama halina uhalisia labda kama aliwekewa mtego akajaa
Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu.
Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume.
Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
Nyuma ya hizi match ni biashara. Messi kutolewa awamu hii na Cabo Verde kuingia ni sawa na kuunguza mtaji.
Ndio maana taharuki haikuwa kubwa kwa mashabiki kuliko kwa wenye worldcup yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.