Kumbe hujuma,pole lara 1,,back in topic,,emolo,,kwani unamzidi urefu kwa mita ngapi?Mkitembea wote mmeshikana mikono kwani watu wanawauliza kama unampeleka shule? lara 1 kwa vile vigezo vingine vipo,kula pini hicho cha uemolo ni kidogo sana rudisha timu uwanjani,labda kama ni uemolo wa urefu...