Kaka elewa division of labour and specialisation wewe hapo ulipo huwezi ukafanya kila kitu perfectly ukiwa kwa biashara or kwa any taasisi lakini kitu kikija kwa uwanja wako you are more efficient so lazima ujue kila ofisi iko na utaratibu wake ila what i know watanzania ni wavivu sana wa...
Kaka pole kwa hilo
Ila mimi naamini CRDB Bank Plc sio bank ya wazungu ni bank inayomilikiwa na watanzania so unapo kua na shida hiyo ni vizuri ukafika bank ukauliza vizuri ukapewa utaratibu mzuri na ukaweza kutatua matatizo yako
Pili naamini ulivyo wezeshwa kufanya online purchase uliverfy card...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.