Recent content by Sunday baltazary

  1. S

    Natafuta mwalimu wa secondari kutoka morogoro, tanga, na pwani tubadilishane kituo

    Mimi niko tayari nafundisha kilosa morogoro shule ya sekondari rudewa 0767783060 call
  2. S

    Teacher for Biology and Chemistry a graduate from UDSM

    Acha kujirahisisha ata km unanjaa sio ujionyeshe kiivo afu nina wacx2 na ww
  3. S

    Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

    Phd na Dr haviongoz nchi ona hao unaowaita wasomi mahali walipotufikisha.
  4. S

    Kilosa sec school

    Iko morogoro wilaya ya kilosa kata ya rudewa ni government school na haina matokeo mazuri in such 4ma advice ntafutie shule nyingine.
  5. S

    Kamanda Kova: Tuhuma dhidi ya Lwakatare hazihusishi Chama

    Kuna cku ukweli wa uovu huu utajulikana afu namshangaa sana huyu ridhiwan anavoropokaropoka bila mpango anafikiri yale mageti ya ikulu ni kwao ile ni mali ya watanzania.
  6. S

    Kamanda Kova: Tuhuma dhidi ya Lwakatare hazihusishi Chama

    Acha upumbavu wewe,hiyo mipangoyenu ccm tumeshawasoma.Vilaza wakubwa.
  7. S

    moevt kuacha walimu wenye taaluma na kuajiri watu wa fani nyingine

    Ebu funguka tukuelewe hii ni tanzania bhana be open.
  8. S

    Kwa wanaume hofu kwa wanawake udadisi, Je ukweli ni upi….?

    Ishu ktk mjadala huu ni jitiada zako we mwenyewe hakuna cha ndefu wala nene.
Back
Top Bottom