Recent content by Sun is Sun

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa WhatsApp unaua mahusiano

    Usifanye hivyo, labda yupo ONLINE anacheza AVIATOR.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Shusha nondo.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Una ushahidi?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Ni upumbavu kwako fala wewe.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wapo kimaslahi katika ndoa.

    Wanawake naombeni mbadilike.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Kumbe KAMARI umeanza kitambo!!!🤔
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Mkuu ni kweli?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Kwa kipato chake, ni hela kubwa japo ni muhimu kuanza upya.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Leo ni miezi mitatu imepita tokea niachane na betting (kamari)

    Mimi nimepoteza pesa na mda.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Leo ni miezi mitatu imepita tokea niachane na betting (kamari)

    Utakufa kwa pressure.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Leo ni miezi mitatu imepita tokea niachane na betting (kamari)

    Kwa ambao hawaijui KAMARI, hawawezi kukuelewa. Mimi nilianza mpaka nilianza kujichukia, nilichakaa mbaya.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Hujui kitu tulia.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Aviator imeharibu maisha ya wengi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Kwa sisi ambao tumewahi kuliwa hela ya ada kwenye AVIATOR, tunaijua hiyo.
Back
Top Bottom