Huu ni uongo kabisa maana wakati uachukua ubingwa wa ulaya Na Porto mchezaji gani pale alikuwa mkubwa achana Na Porto Chelsea msimu wake wa kwanza anachukua ubingwa Nani alikuwa mchezaji mkubwa wakati huko inter Milan ni wachezaji wa kawaida tu ....
Huyu jamaa anaijua kazi yake Na anataka MTU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.