Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,734
- 239,354
Huu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .
Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota , vinginevyo huyu jamaa ni kocha wa kawaida sana .
Ushahidi wa jambo hili ni kikosi cha chelsea cha msimu huu , hakina nyota wa kiwango cha juu na ndio maana ameshindwa ku deliver hali iliyopelekea kutimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto .
Akizungumzia ujio wa Pep Guardiolla Manchester city , kocha wa Stoke city Mark Hughes alisema , ili kocha athibitishe ubora wake ni vema azichukue MID - TEAMS ( timu zinazoshika nafasi za kati ) na kuzitransform hadi zitwae makombe , na asisifiwe uzuri kwa kubebwa na bajeti nzuri ya klabu .
Sasa wanaoshangilia ujio wa Mourinho Man U wanapaswa kutambua kwamba bila wachezaji wakali huyu jamaa si chochote .