Recent content by Sumve 2015

  1. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Kwanini Paul Makonda kujibu tuhuma za ufisadi wa kielimu wa kutumia vyeti vya mtu mwingine kama alivyofanya mwenzake Mwigulu?

    Ajibu nini wakati ni upuuzi mtupu? kwa Mzee Makonda ni Igoma upande wa kushoto kama unaelekea Nyamhongoro kabla hujafika stand ya Magu, kila mtu pale anapajua na wala haitwi Bashite.
  2. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania "Pamba Jiji" wabadilishe jina waitwe "Mwanza Jiji"

    Na wajue tu kwa kanda ya ziwa sisi tunakua hakuna shabiki wa Simba asiekuwa shabiki wa Pamba, na tena Pamba ndo huwa ya kwanza then Simba.
  3. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Argue na wenzio mie sio wa level hizo..
  4. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Hakuna kitu kama iko.
  5. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Wanachekesha sana hawa watu..😅
  6. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Na huyo anayehutubia sasa hivi ni nani? naheshimu sana weledi wako ila mihemuko na Matusi inakudiscredit, hivi PM wa Israel kweli anaweza uwawa kwa hizo makombora yanayotokea huko yakeonekana na kujulikana yanatarget wapi kwa muda wote huo na asiwe evacuated?
  7. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Na wewe unaamini Netanyahu kauawa? kweli jf imevamiwa nowadays.
  8. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Hehe..elimu kaka elimu, radi ni umeme, au ndo nyie mnaoaminigi zile mambo za radi ni kama Jogoo Mwekundu, sa radi inakasirika vipi na kufuata MTU? umeme hata uwe mkubwa vipi bila ya conductor (waya) kuufikisha kwenye TV Katu haiwezi waka, ukikaa sehemu radi imepiga na hakuna conductor huwezi...
  9. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Hakuna kitu kama hicho, huyohuo kondoo unaedanganya anauwezo wa kuzuia radi huko machinjio ya kisasa kabla ya kuchinja anafanyiwa stunning tena kwa umeme mdogo kabisa na anazilai vizuri tu.
  10. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mvua za radi Dar es Salaam na Pwani

    Kwa Ufupi tu, radi ni umeme, kama ulivyo umeme unaoutumia kila siku umeme uko na tabia zake, moja ya tabia zake muhimu ambayo hapa taizungumzia ni ile ya kutafuta shortcut (njia fupi kukamilisha mzunguko wake). Mfano, kama uko na uwezo wa kutumia vidole vyako viwili (gumba na kinachofatia)...
  11. Sumve 2015

    JamiiForums Tanzania Wakiristo wengi hawawajui vizuri waislamu wa kweli katika vita

    Kinachowaliza misibani ni nini sasa badala ya kusherehekea? Maombolezo ya kitanda ya nini?
Back
Top Bottom