Recent content by summation of fx

  1. summation of fx

    Si kila Mchungaji, Nabii au Mtume anayetumia Biblia kufundisha ni Mkristo, wengine ni matapeli

    Usiseme dini zote,ukisema dini zote utakua unakosea,ila changamoto zamaisha ndio zinachangia,tatizo hili limekua kubwa mno na waathirika wakubwa ni watu walioumia na kuchoka mioyo hususani wanawake.MUNGU ATUSAIDIE KWAKWELI
  2. summation of fx

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Umri miaka 42,jinsia mwanaume,elimu chuo.Naishi iringa.Njoo pm tutaelewana tu .Nipo serious
  3. summation of fx

    Natafuta mume, nina miaka 29

    Njoo pm
  4. summation of fx

    Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Mi nilivoelewa hapo MATRIDA anataka pesa,penzi haitaji,apewe pesa na anatembea.Watu wametumwa pesa bwana
  5. summation of fx

    Simba wa Teranga: Kikosi cha dhahabu kilichotikisa Dunia

    mi namkumbukaga huyu fadiga alikua anaenda kurusha mpira,refarii akamwambia achomekee kwanza jezi ndio arushe mpira,basi akawa anachomekea huku anamuangalia refa kwa dharau sana,ile clip hadi ilirudiwa na mtangazaji alicheka sana.Kifupi kikosi hiki mpira walikua wanaujua sana na pia walikua...
  6. summation of fx

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Acheni uvivu na unafiki wakuu,kama mnaona connection hamjamaliziwa basi mjiongeze mfanye afititi wenyewewe jua ni bidhaa gani zinatoka sehemu husia then unaingia jazini na huo ndio ubunifu na utofati wa biashara unapoktja,jwa hiyo kama yeye alikua anasambaza chumvi basi mnataka wote humu...
  7. summation of fx

    TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Ila tusisingizie uchawi,huo uzembe umeanzia kwa dereva wa ist imekutwa k-vant kwenye gari pamoja na operator wa tractor nae anamakosa,huyo wa hice ndio kichaa wakutupwa kabisa.Huyu bila shaka alitumia kilevi pia.ALL IN ALL MAY THEIR SOULS REST IN PEACE
  8. summation of fx

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Nimekua nikijiuliza sana kwa muda mrefu,ivi we mtu mwembamba wanavokuita ivo.Hua wanakulinganisha na nani?Inamaana wewe ni mwembamba kunizidi mimi?Hili suala linantatiza sana kichwani mwangu,nisamehe lakini
Back
Top Bottom