Recent content by sumbai

  1. sumbai

    JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Nchi IPO salama chini ya jemedari daktari Samia. 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
  2. sumbai

    JamiiForums Tanzania Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

    Ni kweli kabisaa. Naturally wanaume ndio wanapaswa kuwatafutia pesa wanawake. Hahaha huoni matatizo ya mwanaume kupewa pesa na mwanamke?? Mnataka Uhuru upi? Unaoletwa na pesa?
  3. sumbai

    JamiiForums Tanzania Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

    Mimi sifaham kabisaaa. Ila najua wanawake wantaka pesa tuu ndio maana tunazitafuta Kwa jasho. Sisi si mnatujua tunapenda ma wowowo ya aina tofauti tofauti yaan just kuyaangalia huku castle light inashuka taratibu
  4. sumbai

    JamiiForums Tanzania Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

    It's not about competitions, yeye six pack anaziangalia za nini? Aridhike na kitambi changu. Hv kuna mwanamke wa kwenda sehem kutafuta mwenye six pack?
  5. sumbai

    JamiiForums Tanzania Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

    Nipo Hivi unajua Radha ya bia inapatikana kwenye ma wowowo?? Yaan bia ya kunywea nyumbani hapana haiana taste kabisaaa
  6. sumbai

    JamiiForums Tanzania Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

    😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
  7. sumbai

    JamiiForums Tanzania Yako wapi majarida ya Shujaaz na Femina?

    Yes Kaka watekaji hawafuatilii mambo ya Kula tunda kimasikhara
  8. sumbai

    JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, tuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji

    UKIJA uchaguzi mnachagua ccm Kwa vishindo vya wakoma
  9. sumbai

    JamiiForums Tanzania Yako wapi majarida ya Shujaaz na Femina?

    😂😂😂😂 Nipo mkuu, Kwingine naogopa kukoment si unajua watu wasiojulikana wamejaa kila sehem Ndio maana naogopa saana
  10. sumbai

    JamiiForums Tanzania Yako wapi majarida ya Shujaaz na Femina?

    Nakumbuka saana those years nikiwa form one na form two nilivisoma saana Nilitaman siku moja wafike shuleni kwetu nasisi tutokee kwenye gazet lao. Nilitamani saana namimi niwe T.o niwekwe page ya mbele... Kuna mrembo mmoja walimpost mwaka flan alikuwa t.o alikuwa anaitwa perpetua kisakwa...
  11. sumbai

    JamiiForums Tanzania Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!

    😂😂😂😂😂 Tunamuomba Mungu akubadilishe huu mtazamo
  12. sumbai

    JamiiForums Tanzania First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    Eng Coca First date ulipelekwa wapi??
  13. sumbai

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    Cnn ni mabepari msiwaamini sanaa hawana Nia njema
  14. sumbai

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    We want assurance mkuu. Japo wasiwasi ndio akili... Walisema week la pili la oktoba mambo yatakuwa mazuri... Paka sasa tunasubiri Au Yule Mungu wa Mh makonda aliyemtaja amezuia mvua??
  15. sumbai

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Ohh hii Safi, haihusiani na mambo ya mashimo?
Back
Top Bottom