Recent content by Sumba-Wanga

  1. Sumba-Wanga

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    Probably wanafanyia kazi. Hivi Mshahara wa yule Mhebeshi umepitishwa na nani? Analipa Kodi Ya serikali yetu Tukufua ya MAma Samia Suluhu Hassan? Ni kweli unamstahili? Ana qualifications za kuwa Financial Controller? Ina maana yeye ana uwezo zaidi ya DVC (PFA)? Hivi hili linajulikana...
  2. Sumba-Wanga

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    Kwa maana hii, huyu mu Ethiopia kuna namna ambavyo anaweza kuendelea kuishi Tanzania na kuweza kudharirisha Walimu na wafanyakazi wa Kitanzania atakavyo. Ni matumaini kuwa Serikali sikivu na yenye Busara kubwa iunayoongozwa na Mama yetu mmpendwa, amelisoma hilo na atalifanyia kazi kupitia kwa...
  3. Sumba-Wanga

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    This is very poor. Hakuna haja ya kujitetea hapa. Acha comitees (TEC, TCU, Uhamiaji) zifanyie kazi hizi tuhuma. Kama sio kweli au ni kweli itajulikana.
  4. Sumba-Wanga

    Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    Hakuna haja ya kujitetea hapa kwa kuonyesha kwamba kuna watu wanagombea madaraka. This is very low and poor. Kwani haya mambo yanayolalamikiwa hayapo? tui akichukua time kuandika a well written story kama hii, bado unaweza kujitetea hapa? Very poor. THios is Kwa mfano mambo 2 1...
  5. Sumba-Wanga

    Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

    GM, QUEENS, KIBO PEAK, STARPACK HOTEL (ingawa vyumba vina socket moja tu iliyopo nyuma ya kabati, lakini ni mpya)
  6. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Hii ni taasisi ya serikali. Nina imani swala hili litafanyiwa kazi. Kama kuna ukweli kwenye hili, pumba na chenga zitaonekana. Poleni external examiners. Poleni Staff wa OUT, ambao mnatumia pesa zenu kutoka mikoani kwenye makao makuu kusahihisha mitihani, na MNAKOPWA kisa MUSE haifanyi kazi...
  7. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Hawawezi kuwa makini. Kama malipo halali ya external examiners na staff yanashindikana. Chief Executive Officer, amechukua hatua gani? Au kwa sababu mambo yake yanakwenda vizuri, hana habari na staff wala wengine?
  8. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Hii sio spirit ya Watanzania. Public Institution inaendeshwa kama private property
  9. Sumba-Wanga

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni cha Serikali?

    Nimekuwa najiuliza kama Chuo Kikuu Huria au OUT ni chuo cha serikali. Inakuwaje chuo cha serikali kikawa na mambo ya ajabu namna hii? Sisi Walimu kutoka nje tuliofanya kazi kama external examiners kwenye kazi za wanafunzi tuna zaidi ya miezi 6 hatujalipwa. Tukiuliza tunaambiwa utaratibu mpya wa...
  10. Sumba-Wanga

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunaomba Msaada. Hii ni KOLA B, Morogoro. Hii case imekuwa reported tangia 3/8/2021. Nguzo mbili zimeoza, matokeo yake nyaya zipo kwenye bati. Hivi mnasubiria hadi hizi insulated wires zichubuke, ilete ajali, then tuseme ni MAPENZI y Mungu?
  11. Sumba-Wanga

    Oil.nzuri kwa hybrid cars in Tanzania

    Ndugu zangu naomba ushauri. Ni oil gani nzuri kwa Hybrid cars hapa Tanzania? TOTAL QUARTS 5000?
  12. Sumba-Wanga

    Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

    Nakubaliana na utabiri huu. Lakini zengwe la CCM ataliweza?
  13. Sumba-Wanga

    Kuhusu Ndege Airbus Aliyoongelea Rais Magufuli

    Kwanza ni muhimu kutumbua majipu yote ATC kabla ya kuleta ndege mpya. Watendaji wa shirika hilo wamejipangaje kuboresha huduma? Tusipoangalia hizo airbus zitakuwa kama zimetupiwa kwenye kundi la mafisi wenye njaa
  14. Sumba-Wanga

    Wanafunzi wasiotoa michango kufukuzwa ni hujuma kwa Serikali?

    Sawa Mkuu! Lakini wamepataje kibali kujenga Hostel binafsi kwenye eneo la shule/serikali? Kwa nini wasibomoe tujue moja? nadhani haya yalifanyika wakati serikali imekwenda LIKIZO
Back
Top Bottom