Recent content by Sumai M H

  1. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Subaru walikuzinguaga nn mkuu? [emoji1787] Naona ww ni number one hater[emoji23][emoji1430]
  2. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ununuzi wa magari

    Subaru zenye matatizo ya headgasket ni zenye engine ya EJ25 pekee. Ulaji wa mafuta ni wa kawaida kwa ambazo hazina turbo.
  3. Sumai M H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

    Ulipigwa mzee
  4. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Yenye turbo obviously consumption ya mafuta ipo juu. Turbo inatoa boost kubwa kwny power ya engine kwa kulazimisha air iliyo compressed kuingia kwny cylinders, hvy mafuta mengi pia yanatumika.
  5. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    More power, more fuel usage bro.
  6. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Power na fuel consumption
  7. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Huawei Mate 8 inahitajika

    Niaje mdau, ushapata hyo Mate 8?
  8. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza jifunza Capoera (Brazilian martial arts) kwa Dar es salaam?

    Kwa DSM walikuwa wanafundisha Dance Art Fusion , Village Walk, mkabala na Sea cliff hotel.
  9. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza jifunza Capoera (Brazilian martial arts) kwa Dar es salaam?

    Hapana mdau haijalishi mtu gan anacheza kwa sasa ila ile ilianzishwa na watawaliwa wa Kibrazil kupinga utawala wa Wareno. Ili kuficha style zao kupigana ndo maana wakaifanya kama dance ila ina mapigo ya hatari kama martial arts nyngn
  10. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Chumba UDSM main campass kwa wasichana kinahitajika

    Mabibo fresh 2 mbona, kama anajisoma muache aende Bibo mbona girls wengi wa Bibo wanapass frxh 2.
  11. Sumai M H

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza jifunza Capoera (Brazilian martial arts) kwa Dar es salaam?

    Capoera hamna bongo master halafu unatakiwa uanze ukiwa na umri mdogo flexibility inahitajika sana kujifunza dance of death.
Back
Top Bottom