Recent content by suluhishojipya

  1. S

    Kosa lililowafukuzisha Zitto na Prof Kitila CHADEMA ni jepesi kuliko Walilosamehewa Kubenea na Komu!

    yule mtoto wa nyumbani kambeba Kubenea. ila lazima ujue hakuna uchafu wa kifedha unaoendelea ndani ya chadema ambao komu haujui, kawa mkurugenzi wa fedha na utawala for 10 good years, hata mipango ya kuumiza na kuuwa watu wanaijua vyema, ni ngumu kuwafukuza kwa nguvu hiyo na ushahidi walio nao.
  2. S

    Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe, atoweka katika mazingira ya kutatanisha

    Kama ilivyo ada mtatokwa humu na mapovu na kutetea sana, ila habari za uhakika ni kuwa huyu jamaa na wenzie wanatuhumiwa kutumia nafasi zao huko Posta kusafirisha madawa ya kulevya, wenzake tayari wanahojiwa na yeye alinusa mapema kuwa game zao zimesanuka akakimbia, hivyo ni mtu aliyejua nini...
  3. S

    Zitto aishauri familia ya Filikunjombe isipeleke nje migogoro inayowakumba

    akiongea na kipindi cha XXL, siku ya jumatatu iliyopita ambayo ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu toka kifo cha Deo Filikunjombe. Zitto alisema kuwa kwanza hadi sasa haamini kuwa Deo alifariki, na kuwa kwake yeye urafiki wake na Deo ulienda mbali ya urafiki na ukawa kama undugu. pia...
  4. S

    INAHITAJIKA GARI NDOGO YA KUKODI

    Gari ndogo ya kukodi inahitajika kwa matumizi ndani ya Dar es Salaam. kama unayo nitumie message inbox kwa mawasiliano zaidi.
  5. S

    Mtifuano kampeni za CHADEMA Turwa-Tarime; Viongozi wala pesa za kampeni, wawataka wenyeviti kutembea kwa miguu kufanya kampeni

    MTIFUANO KAMPENI ZA CHADEMA TURWA-TARIME Viongozi walamba pesa za kampeni, waamua kutembea nyumba kwa nyumba Wapanga kuvunja kanuni na maadili ya uchaguzi kwa kuomba kura siku ya kupiga kura. Mgombea agoma kutoa pesa za biashara alizokopa VICOBA Hali ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya...
  6. S

    Waziri Lugola tunaomba mrejesho wa mbwa

    Kwa kuwa muda uliompa kamanda Sirro umepita naomba mrejesho kama hiyo 6pm ulitwangiwa na kamanda au la, na kama hajatwanga unamchukulia hatua gani?
  7. S

    Mvinyo ........... wine............. Karibu

    Nahitaji nunua toka kwako. Maana kutunza miezi sita mtihani sana.
  8. S

    M/kiti halmashauri Tarime Mjini (CHADEMA) afumaniwa, apigwa kalazwa hospitali ya wilaya

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mjini, Hamisi Nyanswi (CHADEMA), usiku wa kuamkia jana majira ya saa 10 usiku alifumaniwa na kupata kipigo kikali, hali yake sio nzuri na amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Tarime. Taarifa zaidi zinasema kuwa, Hamisi alikuwa amelewa na alimchukua demu wa...
  9. S

    January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    ADMIN FUTA HUU UCHAFU, KAMLISHA MANENO JANUARY, HAYO YA MWISHONI
  10. S

    January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    WEWE MWANAHABARI HURU NI MUONGO NA MZUSHI, NDIO MAANA MKE WAKO ALIPEWA UBUNGE CHADEMA BAADA YA KUMEGWA, MKE WAKO CELCILIA PARESO (MB) ATAENDELEA KULIWA NA MBOWE NA GENGE LAKE ILI UENDELEE KUPATA CHAKULA MEZANI. HAYO MANENO YA MWISHO UMEMLISHA JANUARI NA HAYAPO KATIKA UJUMBE WAKE, KATIBU MKUU WA...
  11. S

    Rais JPM iepuke dhambi hii iliyomtafuna JK tafadhali, muenzi Nyerere kidhati kupitia wasaidizi wake

    Hongera kwa uchambuzi mzuri na makini. Kweli unapowekewa ngazi na kukwea, ni vyema ukumbuke kazi nzuri ya mtengeneza ngazi na aliyekuwekea ngazi ukapanda. Kwa mtazamo wangu moja ya dhambi za viongozi wengi nchini ni kutothamini kazi za waliotangulia, kuzienzi na kuziheshimu. Tunajikita kwenye...
Back
Top Bottom