Recent content by Sulubhali

  1. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania ITV shida nini?

    Nikajua ni kwangu tu!,kumbe ni tatizo la mitambo yao!,labda wakiona maoni kama haya ndo watashtuka!
  2. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania MWALIKO: Karibuni wote kwenye harusi kubwa na ya kifahari kuliko zote!

    Kila lakheri mkuu!
  3. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Bilioni 4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ualimu Sumbawanga

    Vyuo vyajengwa ila ajira ndo mtihani!
  4. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

    Duuh!,kama movie vile!,ila pole sana mkuu!,kikubwa uhai tu!,,ila tumalizie story tujue hatma yake ni nini!
  5. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja wa wale watoto machokoraa Mwanza mwaka 2010/2011

    Pole sana Mkuu na hongera kwa ukurasa mpya!,uandishi wako na majibu yako yananiaminisha kuwa wewe ni mtu mwema sana na mwenye kipaji cha hali ya juu na unayeweza kuishi na mtu wa aina yoyote ile!,Natumai hutamwangusha CONTROLLER!,Nakutakia kila lakheri katika safari yako mpya ya maisha!
  6. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Tamko la kulaani kukamatwa na Polisi kwa wafanyakazi wawili wa THRDC na kusitishwa kwa mafunzo halali ya siku tatu ya ulinzi kwa wanachama wapya 30

    Duuh!,,tunakoelekea sasa si kuzuri!,,hii kamata kamata inachafua sana taswira ya nchi yetu,ndani na na nje ya mipaka yetu!,sijui kwanini hatutumii ueledi zaidi katika kutatua haya masuala!
  7. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

    Mi niliapa kutokuoa mchaga,lakini ndo nikaangukia huko! Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  8. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashauriwe, hakuna sababu ya kujenga viwanja vikubwa

    Hakika umenena vyema!,,naunga mkono hoja!
  9. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

    Ujumbe fikirishi sana huu na wenye simanzi ndani yake!,,ni matumaini yangu kuwa Mh.rais ameupata na ataenda kuufanyia kazi!,,,Pamoja tuijenge nchi yetu! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi na Gavana wa Benki Kuu nani ana mkwanja analindwa na Ni nyeti kuliko mwingine

    Mkuu wa majeshi ni taasi kubwa kama ya rais!,na ndiyo maana nchi ikiingia kwenye machafuko ya kisiasa mkuu wa majeshi ana uwezo wa kuongoza nchi na jeshi lake na kutoa amri zinazotekelezeka!,hivyo si mtu wa mchezo mchezo! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Hekima, umoja na amani hizi ni ngao zetu

    Siku zote maneno ya Askofu yanahitaji tafakuri jadidi ili uweze kuyaelewa!,bila fikra tunduizi hutaweza kumuelewa kamwe! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa pikipiki zangu mbili, anayemjua mganga wa uhakika anipe ramani

    Wasiliana na Mshana Jr. anaweza kukusaidia! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania Mshiriki Namba 13 wa BSS Meshaki Fukuta ameibuka mshindi wa mashindano hayo mwaka 2019

    Dogo ni kipaji yule!,hongera yake! Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Sulubhali

    JamiiForums Tanzania KKKT waraka wa Xmas: Kama unampenda Mungu huwezi kumtesa mwanadamu mwenzio, na kuwanyima Uhuru wa Kikatiba wa kukutana

    Kweli Watanzania bado tuna safari ndefu!,badala ya kujadili ujumbe uliotolewa,sisi tunajikita kwenye mabishano ya udini,(ubaguzi),,,Ubaguzi huu ukiendelea katika nyanja zote hakika hatutaendelea kamwe! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom