Recent content by Sultani kambe

  1. S

    Baada ya Mh Kikwete kusherehekea vifoo vya Mawaziri walio Bwagwa nje , Sasa Asubiri Chake 2015

    Huyu kikwete amezoea kwenda nje then akirudi anangalia CD ZA KANUMBA, ATAPATA WAPI MDA WA KUSOMA KATIBA YA NCHI..USANII M2UPU NA HUYU MWENZAKE KAPINDA
  2. S

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    Usipende kujipendekeza kwa mafisadi utambulia kunyoywa mwenyewe
  3. S

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    TEH TEH TEH TEH TEH TEH UNAMPENDA NANI? Lowasa!!!! Unajaribu kukumbatia nyuki dogo...ALAFU UNAONYESHA KM VILE MJUKUU WA LOWASA
  4. S

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    Lowasa hana tena mvuto ktk tz coz n fisadi wa kimataifa sasa
  5. S

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    Lowasa akiwa raic itabidi niamie kenya coz itakuwa balaa hati m2 utauzwa ilimradi wapate money
  6. S

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    Ume2mwa na nani kuleta habari za huyu fisadi wa dunia?
  7. S

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    Yap! Kweli umechoka kufikiri..lowasa n fisadi na ni raisi wa mafisadi Duniani hafai hata kuwa kiongozi wa mitaa...tamaa kama fisi
  8. S

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    lowasa ni fisadi hata km umwososhe kwa stiliwaya....mwizi achomwe moto kabisa
  9. S

    Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

    Wa2 wamejaa embucheki kwenye hii picha
  10. S

    Naweza nikapata uruma UDSM kwa matokeo haya katika sheria

    Jamani siombi matusi wala kejeli bali ushauri kwa wale wanaofahamu
  11. S

    Naweza nikapata uruma UDSM kwa matokeo haya katika sheria

    Kwa mwenye uwakika naomba ikiwezekana nipate contact, nimepata DIV-2.12 JE WENYEKUJUA NAWEZA KUAPPLY LAW UDSM NA KUPATA? Km itashindikana naombeni msaada katika kozi nyingine zitakazo nipeleka UDSM
Back
Top Bottom