Recent content by Sultan MackJoe Khalifa

  1. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Lini binadamu watakubali ukweli kwamba kwenye siasa na masuala ya haki kumtegemea Mungu ni kupoteza muda tu?

    Watanzañia watu wakupenda miujiza.Ila sawa tu Mungu atatulipia😎
  2. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

    Wapi captein Tesha tapeli😎
  3. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Shabalala mshumaa unaozimika gafla

    Kule Yanga kupata namba kwa ulozi hakuna atasugua binchi alafu wampeleke kwa mkopo Toto Africa.
  4. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Viongozi tusijiamini sana, Mungu wangu ananifunulia mambo makuu

    Nimetaarifiwa Mwanza kulikua na mvua kubwa kwasiku tatu lakini alipofika Samia mvua ikaacha kunyesha. Huu ni muujiza mkubwa.😎
  5. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Video: Mawakili wakizichapa ngumi wakati wa mapumziko kesi ya Tundu Lissu

    Chadema nawao laini sana,kivipi muwe mnabondwa nyinyi kilasiku. hata Mandonga kunasiku anambonda mtu KO.
  6. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Muda huu kuna Utekaji wa kutisha wa Wanachadema unaendelea nchi nzima, JWTZ sitisheni kampeni na chukueni nchi

    Hivi hawa JW mnaona kama vitumbua vya mama Dulla kwamba muda wowote utavikuta kibarazani kwenye sinia.
  7. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vitu Vya Thamani vimeanza kuamishwa kutoka nyumba maalum huko Masaki kwenda Zanzibar

    funiture za Ikulu zinabebwa na rafiki yako,dah,,,umetisha.
  8. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

    Captein Ngabu Vs captein Tesha😂😅🤣
  9. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

    Kamuandikia barua cdf achukue nchi,,,tehe,,tehe,,,tehe😂😅🤣
Back
Top Bottom