Recent content by suleym

  1. suleym

    Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Umechelewa sie wenzio tumeweka makao kabisa!
  2. suleym

    Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Basi hapa kurudi baada ya mwezi!!!
  3. suleym

    Manispaa ya Kahama itakuwa kama Jiji la Mwanza miaka 10-15 ijayo

    Nyandekwa!! East or West home is the best!!!
  4. suleym

    Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

    Panasonic ni mwisho wa maneno!
  5. suleym

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bora mzee wako angetumia condom tu, kwa kutokutumia kwake kaleta shida duniani.
  6. suleym

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wengine kina nani, kwa nini unajipa uhalali wa kiwasemea wengine, jisemee mwenyewe usitafute kichaka cha "wengine". We jamaa unaonekana una mambo ya kijinga kabisa.
  7. suleym

    Ipi rekodi yako ya uzoefu katika uendeshaji gari safari ndefu?

    Labda km ulitumia ungo wa bibi yako! Kwa gari no way! Kwanza tu kutoka posta kuitafuta Mbagala hutoboi chini ya saa moja utoke hapo mbagala uitafute Mkuranga saa la pili limekata Hata km utatembea usiku hiyo barabara ya kusini hadi kufika Mkuranga Ina magari mengi so huwezi ukatembea zaidi 100...
  8. suleym

    Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

    Wanataka polisi wapate sababu za kuzuia mikutano ya hadhara!!!!
  9. suleym

    Shule alizowahi kufundisha Mzee mwinyi ni zipi?

    Alifundisha Shule ya Msingi Mangapwani Bumbwini na baadae akawa Mkuu wa chuo cha ualimu Dole baada ya kutoka Uingereza masomoni!!!!
  10. suleym

    Wizara ya Ujenzi na TANROADS kwanini 50km/hr nchi nzima?

    Mahali pengine pamewekwa 50 wala hakuna cha shule wala makazi mfano unapotoka Morogoro ukishapita Msolwa baada ya shule ya Emperial kuna 50 mfululizo unajiuliza za nini mahali pale?
  11. suleym

    Upakiaji abiria ulipitiliza wa basi la mumuk, arusha - bukoba - karagwe leo jumamosi - 27 Aug 2022

    Nadhani ulikuwa na wajibu wa kufanya zaidi ya kuandika hapa, kama raia mwema ulipaswa kutoa taarifa Kwa mamlaka ili hata likitokea la kutokea tuweze kuwanyoshea vidole kwa kupuuza taarifa ulizowapa. Zaidi hapa unaweza kujikuta umekuwa mtabiri na kusema nilisema na mambo km hayo.
  12. suleym

    Maulidi Kitenge unachokitafuta utakipata very soon.

    Awamu ya tano wajinga walionekana werevu !!!!! J. Ulimwengu
  13. suleym

    Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

    Ukisema yes! kimoyomoyo wanakutukana mana unaonekana king’ang’anizi na msumbufu [emoji16][emoji16][emoji16]
  14. suleym

    Wale Tuliopita JKT tukutane hapa

    Ungeanzisha tu mkuu, mbona ulishaanza kutoa dondoo!!!
  15. suleym

    Fahamu Ugonjwa wa Homa ya Mgunda

    Nadhani ingefaa ukataja ni wanyama gani wanaobeba hao bacteria wanaopelekea kumuathiri binadamu baada ya kugusana na na hao wanyama.
Back
Top Bottom