Lazima tumkumbuke maana sio kwa maovu yale, kwa miaka yake shetani alipumzika maana alipata msaidizi sahihi.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Lazima tumkumbuke maana sio kwa maovu yale, kwa miaka yake shetani alipumzika maana alipata msaidizi sahihi.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Nilichogundua kupitia coment za humu team magu wanajua kila kitu kuhusu uovu wake sema wanajizima data kwa kua hawakuguswa kwa namna yoyote kwa ufedhuli wake
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kuna mjinga mmoja aliniletea msala, kaona mada insta "wanaume wote wanaounga la kwanza na la pili wataenda mbinguni moja kwa moja"
Si akanitag, michepuko yangu 2 ikaona ila hawajuani, mmoja adi leo ugomvi haujaisha.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Una ushahidi gani kua katenda hayo?
Hukuona yale ya mama na mwanae walimfunga baba kusingizia kabaka mwana?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Natamani Yanga itolewe ili iende shirikisho maana huko ndio kuna baadhi ya team anazoweza kuzifunga
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.