Recent content by sulejose

  1. sulejose

    JamiiForums Tanzania Hivi Wasichana wa Arusha wengi hawajitambui au ni ulimbukeni?

    Wewe hata daslam wapo wengi sana tu
  2. sulejose

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa roho upoje?

    Kwani wewe Huwa hauoti ndoto zingine. Tofaauti na hiyo? ,,,Unajua mara nyingi sana Huwa tunafuata akili zetu zikiamini kitu flani nikweli au kinauhusiano na kitu flani basi nivigumu kuikataza, kwahiyo nikwammbie tu majananga yapo nayataendelea kuwepo tu uote au usiote, lakini nilazima majanga...
  3. sulejose

    JamiiForums Tanzania Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani

    Duuuh si usome hata Uzi mzima?
  4. sulejose

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Ifike mahali mjitambue bn mnatukera mno
  5. sulejose

    JamiiForums Tanzania Kwanini Unaishi !

    Well said.
  6. sulejose

    JamiiForums Tanzania Kama kila taifa tajiri linaabudu Mungu wao. Je, Mungu wa kweli ni yupi?

    Mmoja vipi wakat umesoma hapo juu mkuu na majina umetajiwa na mtoa mada
  7. sulejose

    JamiiForums Tanzania Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Finishing nzuri naomba huu Uzi ufungwe maana umemaliza Kila kitu mkuu.
  8. sulejose

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa roho upoje?

    Ndoto ni mfululizo wa picha, mawazo, mihemko na hisia ambao unatokea akilini, kwa kawaida bila makusudi, katika hatua fulanifulani za usingizi, Huyo mzee kutabiri hailazimishi sisi kuamini kuwa Kuna ulimwengu wa roho njo na picha digital ni kubwa saivi
  9. sulejose

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa roho upoje?

    Huo ulimwengu mbona mi siuoni? Au upon kwaajili yawatu kadhaa?
  10. sulejose

    JamiiForums Tanzania Kuna wanadamu na wanadamu viumbe vipya. Hawa wanadamu viumbe vipya ni akina nani hasa?

    Kawaida ya mwanadamu mjinga ni kuamini vitu vizuri,vikubwa ambavyo havipo.
  11. sulejose

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    Nina wazo la biashara mkuu ni pm kamautojali.
Back
Top Bottom