Km unavyo jua jeshi ndio mhimili ambao unategemewa na nchi na RAIA kuilinda na dhid ya maadui/ magaid kutoka nje ya nchi km ndivyo bas unalazimika kueshimu sheria ilio pangwa. Ni vigum kumjua hadui kwan marachache hujitokeza baada ya kujipanga ndio mana serikal ikapiga marufuku kupiga picha...
Unapaswa kujiuliza kiongoz wa nchi km yeye akifanya kitu huita media zimuoneshe pengine hata haifai nkupe mfano mdogo tu. Kumuomba radh/msamah mtyu uwe umemkosea au amekukosea c la kutangaza kwa watu ila ni kuendeleza aman mshikamano na pia yule anae omba msamah katambua yey ni binadam...
Kwa sasa sizan km Luna haja ya kudanganya saaana coz ata yeye anatambua nin kinachoendelea cha msingi ww funguka km unahis n right choice in a right time. Unaweza mdanganya sana alafu akaja jua kabla wew ujafanikiwa akakuona ulikua kwake ili umtyumie tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.