Recent content by Sukye13

  1. Sukye13

    Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Leteni vitu waungwana Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
  2. Sukye13

    Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

    Kwani hujui kama yupo kwenye pilika pilika za eid pili kaka, tulia akirudi atakutafuta saa 11 alfajir sio mbali
  3. Sukye13

    Wakali wa series, msaada wa Series kali za action/upelelezi/ugaidi

    mkuu unapatikana mkoa gani nikutafute uni bless hata series mbili tatu
  4. Sukye13

    Nawezaje kupata Storage kubwa ya disk?

    Hapo Kwenye milioni 100 tu sasa dahh
  5. Sukye13

    Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Kuna zile movie unakuta ina porn parody yake, sasa nilikuwa nauliza zile parodies zinapatikana wapi kama kuna mtu anafaham free site au channels za telegram ambazo wanatuma files sio link anisaidie😫
  6. Sukye13

    Naomba kujuzwa App ya kudownload video za youtube

    Hii ni kwa computer au simu mkuu?? Vipi haisumbui kuload na kupata videos
  7. Sukye13

    Naomba kujuzwa App ya kudownload video za youtube

    Kwa computer mkuu tunaweza kutumia nin kudownload??
  8. Sukye13

    Boksi gani nzuri kuflash simu

    mkuu hii unlock tool official ina size gani yan mb au gb ngapi nimeshindwa kuipata au kama unaeza kutusaidia link itakuwa vizuri..
  9. Sukye13

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Tangu huu uzi uanzishwe humu sijapata mrejesho wa kueleweka yani bado wote walioenda huko naona wana mawenge mawenge sijui kimewapata nini ndugu zetu mje mtuhadisie yaliyowasibu huko.. Natamani mtu aje na feedback stepby step itakuwa safi sana aisee..
  10. Sukye13

    Hatimaye nimeweza kuinstall windows 11 kwenye pc yangu Unsupported

    Safi sana mkuu ngoja namim nijaribu hapa..
  11. Sukye13

    Mfahamu marehemu Andy Whitfield (Spartacus)

    Mkuu nimefuatilia uzi wote ila sijaona history ya spartacus au ulianzisha uzi mwingine.. Nipo nairudia hii series kipindi kile nilikuwa sijaielewa
Back
Top Bottom