Mwenyewe jana wameni email kuwa inatatakiwa niende kwa usaili tarehe 29 mwezi cha ajabu wamenitaka nitume kwanza elfu 20 kwa AIRTEL MONEY 0782185442 Jion napokea ujumbe kwa simu yangu kuwa namba ile ya kutuma pesa imebadilishwa nsitumie ya kwenye email nitumie hii waliyontumia kwa simu...
To be honest vijana tunasafari ndefu sana hasa katika wakati huu matamko ni mengi yasiyotekelezeka alisema anahakiki watumishi leo kaja anasema anafumua mfumo wa utumishi ulikuwa wa kipigaji lakini akumbuke nayeye alikuwa ndani huo huo mfumo enzi akiwa waziri basi naye alikuwa mpigaji au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.