Recent content by suka chile

  1. suka chile

    Alipotua akapewa Magazeti yenye habari za Escrow lakini akasema hazijui

    NAPITA we noma umepita mpaka mezani kumbe mkuu aliwekewa mezani ili asome ha!ha!ha! hii ndo JF alafu wajanja wakamuwekea gazeti la Uhuru juu
  2. suka chile

    Vaeni kieshima mnapokuwa mbele ya kadamnasi na Baba yenu.

    Nakuunga mkono kwenye hili aisee zaidi naona ngozi laini laini kama si soft hatari NAPITA nakuaminia ebu tuletee anaemiliki hizi Jimbo mbili za Obama mkuu.
  3. suka chile

    Vaeni kieshima mnapokuwa mbele ya kadamnasi na Baba yenu.

    Ha!ha! kama alishindwa kutega kipindi kile barabara zinafagiliwa na kudekiwa sa hivi awezi tena
  4. suka chile

    Vaeni kieshima mnapokuwa mbele ya kadamnasi na Baba yenu.

    Alafu kanaonekana kanajua "kusikilimu" vizuri cheki kimdomo chake kinafaa kwa mambo yetu yale.......!!!!
  5. suka chile

    Vaeni kieshima mnapokuwa mbele ya kadamnasi na Baba yenu.

    Hiyo miguu imekosa vikuku tu
  6. suka chile

    Vaeni kieshima mnapokuwa mbele ya kadamnasi na Baba yenu.

    Wakati mwingine kuna watu wanamatatizo sana wananchi wanaona sawa tu yeye kimemkeleketa haya . NAPITA taklibani wiki moja sasa sijakuona humu ndani vipi Dodoma ilikuficha sana mkuu wa kazi
  7. suka chile

    Image of virgin Mary grows on tree

    NAPITA jana na leo unaweka picha ambazo zinaibua mijadala mizito sana jana ile picha ya Nyerere hadi watu wakatukanana majitusi na leo huwenda yakatokea..........!!!!
  8. suka chile

    Rihanna na kitenge kutoka ''Musoma mutex''.

    NAPITA unavina saba na Musoma maana kwa nini musoma....... na si Tanga ha!ha!ha!
  9. suka chile

    Unajua nini kilifata endelea kupitia thread hii.

    wakigeuka si ndo balaa
  10. suka chile

    Unajua nini kilifata endelea kupitia thread hii.

    Hii timu ilikuwa inafanya mazoezi ya misuli au......
  11. suka chile

    Napita na Dangote Mtwara nazidi kupita tu...

    Mkuu unakuja kimiya kimiya tu nasikia habari zako juu juu tu naona mtwara wametembelewa na tajiliiiiiii mkubwa Afrika wa kwanza Duniani wa 23 safi naona anazitumia Fursa vizuri
  12. suka chile

    Tuitafutie jina hii kitu wale wa malavi Davi!!!

    Ha!ha!ha! hii kiboko hapa jina "No balance no kiss"
  13. suka chile

    Hawa nao vipi tena!!!

    Alafu si ni mababa kabisa haya Du!!!
  14. suka chile

    Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

    Sauti nzuri,Sura nzuri anatangaza kituo kizuri cha habari haya mama.............
Back
Top Bottom