Recent content by Suip

  1. Suip

    Mashambulizi ya Israel + USA dhidi ya Iran yanakupa taswira Gani kuhusu uwezo wa kijeshi wa JWTZ

    Lwa karne hii vita ni vya kisayansi hakuna kutembea na vufaru na askari wa miguu ni drones na makombora ya masafa mafupi na marefu,jeshi letu linatakiwa kubadilika kwa la kisasa,pia tuache siasa sa kipuuzi
  2. Suip

    Rais Samia huu mkakati wako au wasaidizi wako dhidi ya Kanisa Katoliki (TEC) unatuangusha sana tunaokutetea na kutukanwa Mitandaoni

    Kanisa katoliki ni nchi ndani nchi zilizo na waumini wengi wa Katoliki kama ilivyo Vatican ndani ya Rome Italy
  3. Suip

    PostGE2025 Kihongosi: CCM imejipanga kuwabana viongozi wa serikali kuhakikisha wanawajibika ipasavyo

    Ni lugha ya kila siku mara serikali mpya inapoingia baada ya uchaguzi lakini mambo yaleyale ya siku zote
  4. Suip

    Tutaipata wapi trilion 16.02?

    Wapunguze matumizi ya serikali,posho za wabunge zikatwe kwa 50% ili akili iwakae wasiwe wanakimbilia huko kwa ajili posho bwerere na pia mishahara yao ipunguzwe,kwani ubunge ni kazi ya kujitolea kama ilivyo mwenyekiti wa mtaa.
  5. Suip

    Kuelekea Desemba 9: Nimeongea na Kapteni wa jeshi na huu ndo uelekeo wao

    Kapteni ni mtu mdogo jeshini ni wa kiwango cha kusimamia kombania usijefanganya vijana wa watu wauliwe kwenye msafara wa manba na kenge waplo
  6. Suip

    PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

    Kuna tatizo kwa idara ya usalama taifa,muajiri vijana wenye weledi,haiwezekani uharibufu mkubwa wa mali na maisha ya watu yatokee bila kuwa na habari au taarifa ya kiintelenjisia. Zuieni tatizo kabla ya kutokea sio kupambana na tatizo liloshatokea
  7. Suip

    TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

    Pole wanafamilia ya JF hivi ni Valentina Malya tuliyekuwa naye kwenye Group ya WhatsApp ya Goden ?
  8. Suip

    Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    Naomba kufahamu,nimetembelea kampuni mbalimbali za mabati ya rangi hapa Arusha,sitaji majina yao,sasa kuna hii tofauti ya bei ya bati za bando ambayo bati moja ya geji 30 inauzwa kwa tsh.23,000 hadi 24,000 lakini za kukatiwa hapo kiwandani mita moja inauzwa kwa tsh.13,000 hadi 14,500 kwa maana...
  9. Suip

    Waziri Biteko, Tanesco wamekudharaulisha sana

    Tatizo ajira za kindugu na za kudumu Kwenye secta binafsi ajira niza mikataba na kama huna cha kutoa katika maendeleo ya shirika mkataba huaongezewi au pia husitishwa.
  10. Suip

    Malipo ya fundi wa tile kwa skwea mita(square metre) ni sh. ngapi

    Wadau nategemea kuwekea sakafu tiles,sasa changamoto ni malipo ya fundi mweka tiles,maana kuna fundi ambaye alifanya shughuli nyingine za ujenzi ananiambia kuwa square mita ni sh. 9000. Mafundi wengi ni madalali anauza kazi kwa mwingine naye ale chake. Naomba kwa wenye uzoefu ni sh. ngapi kwa...
  11. Suip

    Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Wadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi ni ghali, je kuna ukweli hapa au ni upigaji, Nawasilisha anayefahamu anisaidie
  12. Suip

    Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

    Kuna umuhimu wa binder kwani baada ya kuskim na msasa wakipaka rangi nyeupe ya maji kabla ya kupaka rangi ya weather guard au kwa ndani vinyl silky ?
Back
Top Bottom