Recent content by SUGAL

  1. S

    JamiiForums Tanzania Canon 2420 spare parts needed

    Habari zenu wana jukwaa!naomba kujua sehemu ambayo wanauza spare parts za printer .
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

    Wazo zuri abakora uongozi wa chadema hakuna jipya tukishindwa hapo piga chini wote Zitto aongoze
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya huyu mgeni,mana amebadili nyumba yangu

    Mtoto wa umri gani?kama ni under ten years nyie ndo mnapaswa mumfulie nguo viatu!na Kama nguo alizonazo ni Kauka nikuvae basi itakubidi umnunulie nguo mbili Tatu huyo ni mwanao na yupo chini yako !action zote za usafi unazofanya kwa mwanao fanya na kwa huyo mjomba wako
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni za udiwani kiteto:mgombea wa chadema adaiwa kutelekeza familia!!

    Par timbo kule kuna watu wanaakaaa!mo nakumbuka zamani alikuwa ni Mbunge kisurutia!wadau wa huko hebu tupeni update
  5. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Kila Mtu Ana haki Yake ya kuchagua kuwa chama gani!!!sasa wao kuwa huko kuna tatizo???tofautisha kazi ya Mtu na itikadi ya chama! Chadema ni chama cha wasomi na wenye kutumia point!!hapo hauna point zaidi ya ubaguzi!mnakichafua chama
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri azomewa mbele ya Pinda: Wananchi wadai amewatelekeza muda mrefu

    Ok nadhani hajafikia kile walichotarajia kwa pande zote mbili!!!some time u dictator unahitajika kupata suluhu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nauza photocopy mashine na printers 2

    Give us type and model no of those devices even the price
  8. S

    JamiiForums Tanzania msaada wa window 7 wakuu

    Njoo na cd flash nikupe image ! Window 7 ultimate ,proffesional ,starter,home basic,interprise or na je ni 32 bits or 64 bits Window 8 or 8.1 na je ni 32 bits or 64 bits . Tell what you need from the above window version and types
  9. S

    JamiiForums Tanzania msaada wa window 7 wakuu

    Yani nataka kujua upo pande zipi Ili nijue jinsi ya kukupatia!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Zitto ni mchapakazi na ni Mtu muhimu sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania msaada wa window 7 wakuu

    Unapatikana. Pande zipi ?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 2 nataka kununua gari.Ushauri unahitajika!!

    Bei ni poa kabisa tena hapo hajakuuzia scraper kwa kilo !kuhusu biashara uza kwa kilo bado faida ipo
Back
Top Bottom